Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
Nawapenda sana wabongo wenzangu..Mkifika kwa Mama Ntilie utasikia nina 500 nataka "wakushiba"..ie ujaziwe..sasa ukitaja ujaziwe si lazima uongeze pesa...?Huku kutaka kingi kwa bei ndogo nako Mh...!!!
Kaka Mtsimbe tuweke breakdown yenu kama hao wenzako wa Kenya.
ila wadau naomba tusilinganishe bei za TZ na Huko "Unyamwezini"
Unfortunately siwezi kuzitundika bei hapa kwa sasa kwa sababu za kibiashara.
Mkuu Chuma wasiliana nasi Sales@simbanet.net
Tukishajua mahitaji yako, tutakueleza bei yake.