Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
mkuu sasa hapo utakuwa una mlimit mtu asijiachie atakavyo...kama hamna multimedia na magraphics sasa hapo mkuu huyo client ina maana yeye atakuwa anafungua ippmedia.com basi......Yo Yo, kwa wataalamu wa Internet, downloads za kawaida (No Multimedia, No graphics, no Sound) inatosha.
lakini kama ukitaka kudownlaod Videos, Images, Sounds, of course u need more capacity. Ndiyo maana issue ya kujua mahitaji kabla ni muhimu sana.
mkuu wengi watumiaji lazima tunapenda kupata kila kitu.....nimsikilize mwanakijiji,nile midundo bongoradio,youtube na kwingineko.....sasa kama 2Mbps mnachaji 4.7mil nyie mmejiunga na mkongo kweli?