Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
anyway sikuwa nimesoma vizuri post ya kwanza ya thread....haya anza basi na swali langu la hapo juu....Mkuu Yo Yo, Wewe Wasema.
karibu sana.
anyway sikuwa nimesoma vizuri post ya kwanza ya thread....haya anza basi na swali langu la hapo juu....Mkuu Yo Yo, Wewe Wasema.
karibu sana.
sasa mnaanza matamshi ya akina kayanza kule mjengoni.....wekeni mambo za kisayansi wakuu...
-je hio speed ni limited au unlimited?
nimekusoma isije kuwa ule usanii wenu......nahitaji 2MBPS unlimited chaji yao iko vipi?Speed ni UNLIMITED.
SimbaNET inatoa Dedicated Bandwidth.
nimekusoma isije kuwa ule usanii wenu......nahitaji 2MBPS unlimited chaji yao iko vipi?
Vyema kabisa.Mkuu Yo Yo;
Si rahisi kwa SimbaNET kufanya usanii, zamani wala sasa hivi. Always tuna excess capacity in stock ambayo inatakiwa iuzwe pia.
Sasa hivi tuna 1 pair ya 155 Mbps na muda si mrefu tutaongeza.
Mkuu Yoyo; katika Backbone ya VSAT 2048/2048 Kbps the best price ilikuwa not less than $ 10,000 (Dedicated Bandwidth)
2048/2048 Kbps kwa Submarine Backbone unaweza kupata kwa $ 3685. nakushauri ulete mahitaji kamili kupitia sales@simbanet.net na utapewa bei halisia kufuatana na mahitaji.
Lakini ni speed ya kitu gani hicho hapa duniani ambayo iko BOLD unlimited?!!Speed ni UNLIMITED.
SimbaNET inatoa Dedicated Bandwidth.
Kwa wale watakaokuwa na nafasi, kesho Ijumaa Tarehe 14-08-2009, mnaweza pia kupata maelezo zaidi katika kipindi cha JAMBO AFRICA kuanzia saa 12 Asubuhi.
Karibuni sana.
Vyema kabisa.
Lakini ni speed ya kitu gani hicho hapa duniani ambayo iko BOLD unlimited?!!
wait a minute......kwa hiyo kwa hio 2MBPS ndio nitalipa hayo mafwedha kwa mwezi sio? si nitakuwa nalipa bils kwa mwezi sio?2048/2048 Kbps kwa Submarine Backbone unaweza kupata kwa $ 3685. nakushauri ulete mahitaji kamili kupitia sales@simbanet.net na utapewa bei halisia kufuatana na mahitaji.
lakini yaonekana huyu jamaa mwenye suti yenye michururizo ya mistari hapo juu ni mtanashati sana. Naona hata tai imeenda shule na imemwacha anaonekana pasna sana. mmachichisho na hicho kipanki cha kishkaji vimeenda shule ati
UNLIMITED SPEED kwa maana kuwa hatuipimi kwa mgao wa PER GB.
Ok tnx kwa maelezo, ila kwa sisi ambao ni laymen kidogo hatujaelewa. tunachohitaji ni utudadavulie in terms of packages mtakazokujanazo ili nijue kama nina labda ofisi yenye pc 10 nitahitaji package ya gharama gani ili mambo yaende tambarare. ukifanya hivyo nadhani utakuwa umetusaidia walaji tulio wengi
wait a minute......kwa hiyo kwa hio 2MBPS ndio nitalipa hayo mafwedha kwa mwezi sio? si nitakuwa nalipa bils kwa mwezi sio?
Sawa, ahsante kunielewesha. hizi marketing terminology hizi kwakweli sometimes zimetengenezwa kuzuga wateja kwa sana tu
mamaaaa weeee mkuu mnyamwezi woote huo? mkuu sidhani kama mmejiunga na Seacom..nina mashaka.......before kujiunga na mkongo wa mawasiliano packages hio mlikuwa mnachaji bei gani?YES Sir! Per Month.
lol bado saaana......kama una bajeti ya kutosha PC moja unaweza kuipimia 8 Kbps. So 10 PC 80/80 Kbps inakutosha.
Bei: $ 150
karibu sana Kiongozi.
mamaaaa weeee mkuu mnyamwezi woote huo? mkuu sidhani kama mmejiunga na Seacom..nina mashaka.......before kujiunga na mkongo wa mawasiliano packages hio mlikuwa mnachaji bei gani?
mind youu iwe unlimited data transfer.....
lol bado saaana......
Expecting you to modify that unrefined marketing buzz word into something reflective!!
lol bado saaana......