Usihangaike na CV Ya Mh. Simbachawene cha zaidi ni Degree ya sheria toka chuo kikuu huria, lazima atakuwa ni kichwa au degree zenyewe za chuo hicho ni nyepesi kwa sababu wakati anajisomea chuo hicho huria alikuwa ni mpiga debe katika mabasi ya shemeji yake George Chove , mabasi ya urafiki. Alikuwa akipiga debe lake Stand ya zamani Dodoma pale Nyuma ya SIDO. Alichokuwa anawaudhi wasafili ni ile tabia yake ya kuwahi mizigo ya abiria na saa ingine kuwabeba na kuwaingiza katika basi lake la Urafiki hasa wanawake alikuwa anawabeba akiwashika sehemu zingine ambazo walikuwa hawapendi,
Siku moja mpiga debe mwenzie akiitwa Gerard alisagwa na basi siku hiyo Simbachawene alilia kama motto mdogo. Hata hivyo wadau wengi hawashangai sana kwani Josep Starling alikuwa shoe shiner hadi Rais wa Urusi ile ya zamani kabla ya kusambalatishwa na marekani.

hiyo ilikuwa lini?
toka skipindi hiko hadi ubunge alifanya nini?
Mkuu nimefarijika mleta mada amejijibu mwenyewe kwamba unaweza ukawa shoe shiner lakini ukaishia kwenye Urais. Simba alikuwa mpiga debe lakini akaonyesha juhudi hadi kupata degree na sasa anasoma degree ya uzamili katik utawala. Hizo ni juhudi za kupigiwa chapuo tusibweteke tukijiwezesha tunaweza.
Hata mimi imani yangu ni kwamba Simbachawene anaweza kutuletea kitu. Shilingi yangu naitupa kwake.
Usihangaike na CV Ya Mh. Simbachawene cha zaidi ni Degree ya sheria toka chuo kikuu huria, lazima atakuwa ni kichwa au degree zenyewe za chuo hicho ni nyepesi kwa sababu wakati anajisomea chuo hicho huria alikuwa ni mpiga debe katika mabasi ya shemeji yake George Chove , mabasi ya urafiki. Alikuwa akipiga debe lake Stand ya zamani Dodoma pale Nyuma ya SIDO. Alichokuwa anawaudhi wasafili ni ile tabia yake ya kuwahi mizigo ya abiria na saa ingine kuwabeba na kuwaingiza katika basi lake la Urafiki hasa wanawake alikuwa anawabeba akiwashika sehemu zingine ambazo walikuwa hawapendi,
Siku moja mpiga debe mwenzie akiitwa Gerard alisagwa na basi siku hiyo Simbachawene alilia kama motto mdogo. Hata hivyo wadau wengi hawashangai sana kwani Josep Starling alikuwa shoe shiner hadi Rais wa Urusi ile ya zamani kabla ya kusambalatishwa na marekani.
Not under Kikwete's administration.kusema ukweli naamini george anaweza kuleta something different he seems to be strategic
Suzie hiyo si sahihi kabisa. Yaani hutaki mpiga debe asome na kuwa hata mwansheria? Tanzania ya sasa si ile ya kwamba ukishindwa kwenda form six na Chuo Kikuu (UDSM) basi mwisho wako ndio huo. Siku hizi watu wanapiga cross kuanzia form four na wanakuwa maprofessor bila kufika form six!Siyo bongo lakini, hapa kwetu mpiga debe ni mpiga debe tu hata umuelimisheje anabaki kuwa hopeless na ukichukulia hiyo shahada ya chuo huria haikai darasani sidhani kama analaziada zaidi la ganda la cheti