Simbachawene: Sitakubali kung’oka uwaziri

Status
Not open for further replies.
umechanganya kadoda,alofumaniwa ni Josephat Joseph,na si wazir wala mbunge wala naibu waziri

Acha kupotosha ndugu, aliyefumaniwa ni GEORGE SIMBACHAWENE naibu waziri wa wizara ya Nishati na madini! Huyo hapo juu kwenye thread!
 
Huyu jamaa hujifanya yeye CCM Damu pale mjengoni, sasa kama ni kweli kuanzia sasa amekuwa dhaifu pia heri aachie ngazi
 
Invisible hili jambo limekuwa gumu hapa jf hebu thibitisha umma wa jf kama ni kweli, uongo au tetesi.
 
Last edited by a moderator:
JF mbona mnatuchanganya: thread moja inasema ni simbachawene nyingine ni Josephat Joseph Fisichamwene. Ipi tuiamini?


wasikuchanganye ndugu yangu ni kwamba aliyefumaniwa ni waziri simbachewene , hawa wanataka kuficha ubaya wa viongozi wetu, si unajua humu kuna vijana wa CCM wanaona aibu kiongozi kutokuwa mwadilifu ni utomvu wa nidhamu na kinyume cha maadili ya kazi na maadili ya viongozi na huu ndo kukosa proper civil srvant code of conduct maake u ccm umetawala sana bila kujali ukweli.
 
Kidogo chetu hujasoma mada yenyewe nini, aliongea juzi huko dodoma fumanizi ni leo
 
Huyu hapa

IMG_3111.JPG
 
Hivi hiyo sime imekidondosha kiganja au imejeruhi natamani kiganja kingetenganishwa na mkono kabisa awe anafunga kitambaa,
 
SIMBACHAWENE HIVI NI KWELI 'UDHAIFU WA KIMWILI' UMEKUFANYA KUVUNJA HEKALU YA MUNGU KATIKA NDOA TAKATIFU YA KI-KRISTO HIVI HIVI??

Mkristo mwema, bila kujali cheo chake katika jamii, kamwe hatokimbilia kuingilia NDOA TAKATIFU wa mwenzake hata kama mbubujiko wa fedha mithili ya mto Ruaha itakua ikimtuma akafanye hivo.

SimbaChawene, HATA NA WEWE kweli mwenzetu???????????????????? Hivi ni kweli umeamua kwa makusudi kuvunja HEKALU YA MUNGU katika ndoa takatifu au ni kwamba mwenzetu umesingiziwa tu???

Mhe Simbachawene, kama madai haya ni ya kweli na ukweli mtupu,
Simbachawene chukua hatua za haraka sana KUJIUZULU NYADHIFA ZOTE za ki-uongozi katika jamii ili kuokolea wapiga kura wako aibu yote hiyo.

Kamwe huwezi KUMCHEMBA mke wa mtu gesti na bado ukaendelea kutia ngenya pale sebuleni kwetu Dodoma kwa mtaji wa masizi hayo yote!!!!!

SAM_1112.JPG
 
Hivi hiyo sime imekidondosha kiganja au imejeruhi natamani kiganja kingetenganishwa na mkono kabisa awe anafunga kitambaa,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom