SIMBACHAWENE: Sikufumaniwa

Nadhani tuangalie pande zote kuhusu ukweli wa jambo hili. Tusihukumu moja kwa moja kwa sababu mtuhumiwa ni CCM, Awali tuliambiwa kuwa mtuhumiwa alijeruhiwa mkono na sime. Je! Jeraha hilo limepona ndani ya saa 24? Angekutwa na jeraha kweli ingebidi atafute pa kujificha, lakini sasa naanza kupatwa na shaka kuhusu ukweli wa jambo hili.
 
Tukio limetokea
Mhusika siyo Simba..........
Hakuna mwanaume atakayekubali kwamba kafumaniwa,labda kama alipigwa picha

Clinton aligoma kukubali mpaka dakika za mwisho, baadaye alikubali alipoona tukio halifichiki tena
 
........Binadamu kweli watu wa ajabu, inakuwaje unamzushia mtu jambo baya namna hii?

Hii habari nilivyosikia ilikuwa ngumu kuamini. Japo ana mapungufu yake ila hili ni kubwa mno.
 
CHADEMA wanahusika vipi na fumanizi hili mkuu?
Tutajuaje kama Simbachawene kanunua media pamoja na idara ya usalama kuugeuza ukweli kuwa uwongo?

Chadema hawawezi kununua media kumpakazia Simbachawene?Dr. SLAA mwenyewe ameiba mke wa mtu!!
 
Huyu jamaa namfahamu sana ana baa yake pale vingunguti ni malaya kishenzi,kwakweli mimi celewi huyu kikwete anawatoa wapi hawa mawazilri wake.huyu jamaa hakufaa kuwa waziri kabisa hawa usalama wa taifa wanamdanganya sana president>>>>>>>>>>>>>>>>>>
 
kweli ujinga ni mzigo....hivi kufumaniwa kwa FISICHAWENE CHADEMA inahusikaje? Hivi mlitegemea aseme "ndiyo nilifumaniwa?

Soma vizuri huko juu inahusikaje, halafu si uliiona ile nyuzi jana? 99% ni chadema na walitoa kila aina ya majungu na matusi kwa Simbachawene na CCM, halafu unauliza chadema inahusikaje?
 
WENZAKO WAMEANZA UKUBWANI KUONGEA KWA KUTUMIA MASABURI, WE ULIANZA UTOTONI??? kweli watumwa wa chama cha machangu ni wengi, na we mmoja wao!

Mkiwa hamna hoja mnaanza viroja, si humu tu hata bungeni. Watanzania wamesha anza kuwaelewa, na bado.
 
Huyu jamaa namfahamu sana ana baa yake pale vingunguti ni malaya kishenzi,kwakweli mimi celewi huyu kikwete anawatoa wapi hawa mawazilri wake.huyu jamaa hakufaa kuwa waziri kabisa hawa usalama wa taifa wanamdanganya sana president>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Unajuwa Katibu Mkuu wa chadema, kazaa na mke wa mtu? unajuwa kuwa huyo hawara yake anapewa perdiem, tiketi za safari, analipiwa haisigeli, zote hizo ni fedha za walipa kodi? au huyajui hayo?
 
Jamani sitaki kuhusishwa na suala hili ila ninachokijua mimi ni kwamba kweli jamaa kafumaniwa na niliongea kwa simu na mmoja wa askari hapo singida na kudai kuwa ni kweli na kwamba jana walikuja kwenye harajati za kuuwa soo hilo kwa kuondoa gari eneo la tukio, taarifa hizi nilipewa na askri na sio mtu baki kama wameamua kukanusha basi wakanushe tu for the sake of kukanusha
 
Toka jana unaona limetokea, ushahidi wa maneno ukawa kapigwa panga la mkono, leo Simbachawene anasema jana alikuwa Karatu na kawavulia shati muhakikishe hakuna alipokatwa na panga wala kiwembe, sasa tuamni uzushi bila ushahidi?

Weka ushahidi kama unao. Magwanda mmezowea kupakaza na kusema uongo na majungu. Aliyeleta ile mada humu kwa mara ya kwanza ajitokeze na kujitaja na akatowe ushahidi vyombo vya habari, anaogopa nini? na kama ni mkweli kwanini anajificha nyuma ya uongo?
Tungeona pia hiyo picha ya jana alipowavulia shati waandishi wa habari.
 
Gazeti la uwazi hawawezi kutoa picha.

Kwani lengo la kuuza gazeti si ni hela? Sasa uandike habari ambayo hela yake tayari unayo ili nini?

Sent from my simu ya mchina using JamiiForums
 
Tungeona pia hiyo picha ya jana alipowavulia shati waandishi wa habari.

Hayo sasa waulize waandishi wa habari, sioni mahala huko juu kama wamesema wana picha, lakini nyuzi ya jana mleta mada alisema picha zinakuja na invisible (huyu ni mmoja wa moderators kama si waanzilishi wa JF) akasema picha zinakuja, ziko wapi?

Anaetakiwa kutoa ushahidi ni mwenye kuleta madai na si mdaiwa. Mpaka sasa ni ushahidi "0" (sifuri) kama ilivyokuwa bajeti yenu bungeni. Kwi kwi kwi kwi, teh teh teh!
 
Hivi yule wa Nashera alizushiwa kuibiwa na CUF eeh?

Poleni sana. Nilitegemea aseme ni kweli alifumaniwa na fulani bin fulani!
Pigo lingine kwa chadema, uongo na uzushi ndio uliowajaa vinywani mwao.
 
Hivi yule wa Nashera alizushiwa kuibiwa na CUF eeh?

Poleni sana. Nilitegemea aseme ni kweli alifumaniwa na fulani bin fulani!

Nilitegemea waliosema jana wataleta picha za ushahidi humu JF watazileta, sijui imekuwaje? maana naona mpaka sasa ushahidi "0" wa tuhuma nzito. kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Yeye si mtu muhimu chamani wala serikalini. Hana 'influence' za kiuongozi hadi azushiwe. Ni mtu mdogo sana nchi hii. Habari ya kufumaniwa kwake yeweza kuwa imekosewa kuwa amejeruhiwa. Lakini,kufumaniwa kwabaki. Hana heshima kubwa nchini ili kumwinda kwa uzushi. Asifungue tena mdomo wake...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom