Simba Yashindiliwa 4-1 na Toto Africans

Hatuna raha wapenzi wa simba na jana nimesikia kiongozi mmoja akisema tumevamiwa na mafisadi daah hii sijui imekaa vipi au ndiyo tumechanganyikiwa....

he he he heeee, kwi kwi kwi kwi....mbavu zangu jamani eeeh, dah kweli mmeshikwa pabaya mwaka huu; l.o.l poleni sana watani.
 
Hatuna raha wapenzi wa simba na jana nimesikia kiongozi mmoja akisema tumevamiwa na mafisadi daah hii sijui imekaa vipi au ndiyo tumechanganyikiwa....

Na bado, mtachanganyikiwa sana mwaka huu.
Wapi Julio?
 
naamini jumamosi mnyama atamfunga yanga kwani bila hivyo songombingo litakalotokea shughuli ya kosovo itakuwa cha mtoto. hivyo zitafanyika mbinu zote ili mnyama ashinde au angalau atoe droo
 
yule sio kiongozi wa simba bwana aliyesema hayo
Yuko kwenye kamati moja wapo hivyo mi nachukulia kuwa nikiongozi sikumbuki jina lake na hiyo kamati aliyoko....lakini yote kwa yote yanga anafungika mkija kichwa kichwa story itabadilika subilia trh 26.10
 
Mnyama mziki mkubwa kiama cha Kandambili na mwisho wa ufadhili wa Manji ni hiyo Jumapili.

Simba mziki mkubwa!
 
baada ya simba kufungwa na toto goli 4-1 kuna mtangazaji wa redio moja hapa jijini wa kipindi cha michezo alianza kwa kutangaza NANUKUU "Simba koko aufyata mkia mwanza, akubali kuchutamishwa mara 4"
 
baada ya simba kufungwa na toto goli 4-1 kuna mtangazaji wa redio moja hapa jijini wa kipindi cha michezo alianza kwa kutangaza NANUKUU "Simba koko aufyata mkia mwanza, akubali kuchutamishwa mara 4"

Kama alikuwa shabiki wa Yanga na ametangaza habari hiyo ulitegemea nini?
kwi kwi kwi na j2 mtashikishwa ardhi tena kwa kipigo kitakatifu.
 
naamini jumamosi mnyama atamfunga yanga kwani bila hivyo songombingo litakalotokea shughuli ya kosovo itakuwa cha mtoto. hivyo zitafanyika mbinu zote ili mnyama ashinde au angalau atoe droo

Ni kweli mkuu, unajua wanaposema utani wa jadi ni pamoja na kuliwazana ktk majonzi na shida (vipigo).

Nakumbuka kipindi cha katikati ya miaka ya 80's mnyama alikuwa karibu kabisa kushuka daraja, na Yanga ilikuwa very strong nadhani ilishatangaza ubingwa kabla ya mechi kadhaa kabla ya ligi kwisha.. mechi ile ya mwishoni mwa ligi ilikuwa hakuna matokeo yoyote ya kuinusuru Simba isishuke daraja zaidi ya ushindi..na ndivyo ilivyofanya na kuepa kushuka daraja..

Tusubiri tuone mambo haya ya soka la kiswahili.
 
Back
Top Bottom