Simba Yaitoa Setif: Simba1-3Setif.

watani mmenifurahisha sana sana kwa kweli
wacha niangalie kitabu si kinaruhusu kitimoto kuanzia sasa ama ndio atuli nyama mpaka jumapili??
Good job okwiiiiiiiii
Mkuu jipongeze tu! Mimi imenibidi niongeze mbavu nne za kiti moto!
 
Ama hakika, ' Simba Taifa Kubwa' Na hata Yanga wanalijua hilo! Na tumesema huko nyuma, kuwa ushindi wa Simba unabaki kuwa ni ushindi wetu Simba na Watanzania wengine wote isipokuwa Yanga.

Hivyo basi, Yanga msijihangaishe kutupa salamu za pongezi, maana , tunajua, haziwezi kuwa za dhati! Na Pasaka hii mtaisheherekea mkiwa mmejifungia makwenu kwa kuogopa kukutana mitaani na sie watani zenu.

Hata hivyo, Simba tunawashukuru sana Yanga kwa mafanikio yetu. Bila kuyahofia maneno yenu tusingekuwa tukipambana kufa na kupona uwanjani!
Salaam maalum za Pasaka kwenu Dar Young Africans! By Maggid Mjengwa.
 
sure!, pongezi za wa-vaa ndala ni za kinafiki maana mioyo yao hawaishirikishi ktk keyboard.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom