simba washaitandika yanga

Goli la kwanza kipindi cha kwanza ni Mussa Hassan Mgosi.Goli la pili kipindi cha pili Shija Mkina ndiyemfungaji.Yanga walichonga sana sasa midomogundi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom