Simba wa Yuda

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Kuna masai moja alikukwenda kanisani, alipofika nje ya geti akasikia pambio limepamba moto.... Simba wa Yuudaa!! anangurumaaa!!! anangurumaaa Simbaaaa!!

ee, akasimama kisikilizia, wazee wa kanisa wakaja kumkaribisha ndani, Mpendwa, Karibu tumsifu Mungu! Masai akasema weeee, naona mimi jingaee, imegundua, hingiii! nasikia Simba ya Yuda inanguruma ndani, ooooo! imeshituka haiendi!

Masai kala kona!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom