simba vs yanga

Sasa mvua iliyonyesha,iliwaloanisha simba mpaka wakageuka nyau nini?
 
Goli la Mgosi lilikuwa offside,super sport wamenyesha live ,ingekuwa TV za hapa bongo ingekuwa ngumu sana kubaini ile offside
 
Goli la Mgosi lilikuwa offside,super sport wamenyesha live ,ingekuwa TV za hapa bongo ingekuwa ngumu sana kubaini ile offside
aaahh howard webb... leo naona umekua refa tena
 
Kweli sisi bado,dakika 45 za kipindi cha kwanza kulikuwa hakuna shot on target hata moja...shots offtarget 3 tu...bado sana,wachezaji wetu vipi...mashuti hamna kabisa sasa tutafungaje?
 
Goli la Mgosi lilikuwa offside,super sport wamenyesha live ,ingekuwa TV za hapa bongo ingekuwa ngumu sana kubaini ile offside
on a serious note

hii niliiweka post # 51... lakini je ile ya yanga ilikua penati?? if you ask me ntasema ilikua nje yapenati na jamaa aliangukia ndani

the game had shown three things

  1. our refereeing is poor
  2. our players are not serious
  3. we need to improve our tactics kwasababu we have stamina tunachokosa ni mbinu

long way to kyerefaso
 
later on yanga watalizwa na mnyama mkali aliyoko town.

simba 3 yanga 1 ushindi lazima mtaa wa msimbazi

We subili mpira 90dk leo hatoki mtu lazima mvalishwe sketi

umebaki mda mfupi tu myama kuongoza ligi

Mnyama kwa sasa yupo juu.No doubt about it,Kichapo kwa Yeboyebo ni kama sala leo

ubest wa yanga upo wapi? Subirini kichapo cha haja na ubingwa unarudi msimbazi.

kusema ukwel simba bingwa yan bila tatzo.

Mimi naona kama Simba ndio wazuri kwa sasa na ndio watakaoshinda bila shaka

SHE-MBA bana
Kelele nyiiiiiiiiiingi nje ya uwanja, kama wamemeza Hard Disk Ya 10 Tera Byte yenye nyimbo za Khadija Kopa
Uwanjani wanageuka VILUI-LUI
Kusawazisha bao wameshangiliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sasa tunasubili mmeze Hard Disk ya 50 TB ya nyimbo za Bongo Fleva mtakapo cheza na TP Mazembe.
Najua mtawafunga TP Mazembe kwao 4 bila kwa midomo
Uwanjani ni kinyume chake
HONGERENI KWA SOKA LENU
 
Wewe ulitakaje,unajua raha ya Simba na Yanga...je umati ulio kuwepo pale uwanja wa Taifa unaweza kuupata kenya au unganda kwa mechi za vilabu vyao?
 
Back
Top Bottom