SIMBA VS YANGA

danymTZ

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
375
568
"Simba ni mlinzi mzuri zaidi kuliko mbwa, ndo maana yanga tulimpa kazi atulindie nafasi yetu ya kwanza ya ligi kuu kipindi tupo safari ya kimataifa. Tunakushukuru Mtani kwa msaada wako" UTANI MWINGINE HUU UNAWEZA KUONGEZA IDADI YA WATU WENYE MAPENGO NCHINI
 
Back
Top Bottom