Simba vs Yanga Okt 16, 2010

Kambi ya siku moja Manyoni ya nini? Kama sio mambo yaleeee yanaturudisha nyuma kwenye soccer. Kwa ninavyojua timu inatakiwa iende kufanya mazoezi mepesi siku moja kabla au siku ya mchezo asubuhi kwenye uwanja watakaochezea mechi ili wauzoee. Simba badilikeni ili soccer letu likue acheni mambo ya ajabu
\

Mkuu hawawezi kubadilika ndivyo walivyo
 
Waungwana habari zinasema Simba wamekata rufaa wanadai Yanga imechezesha wachezaji 13, ili kuthibitisha wanadai hata mganga wao wa Manyoni aliliona hilo, ha ha ha
 
Hivi tukakomaa lini? Hii nchi bado ni ya enzi za mawe (STONE AGE) huku Sheikh YAHYA anasema atamwekea kinga JK na huko Simba wanaingia uwanjani kwa kutanguliza ******? Psychlogically walishashindwa kabla ya mechi na JK hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom