Simba Vs Yanga kesho tujadili!!!

Status
Not open for further replies.
Timu iliyojiandaa vizuri zaidi ndiyo itakayoshinda kesho. Ukifuatilia maandalizi ya timu hizi mbili naona Simba imejiandaa vizuri zaidi. Hata hivyo, tusubiri filimbi ya mwisho ya mwamuzi MBAGA. SIMBA: Kaseja, Kanoni, Jabu, Nyoso, Owino, Banka, Chombo, Echesa, Okwi, Mgosi, Mrwanda/Uhuru.
 
Baada ya Real Madrid (first 11) kufungwa juzi na timu ya kijiji nimekomakutabiri
 
Mtoa mada acha za kuleta,kushinda mechi 9 ndo nini,hao wanyama si wananunua mechi tu,kwani siri? kesho Mnyama anakula kisago tu,hakuna cha Kassim Dewji,Magori,Mlamu,Hermes wala babu lao mpiga gita Dalali! Na kwa taarifa yao Unguja ni karibu wangejua wangejichimbia Darfur kabisa na kibondo kingekuwa pale pale,bita ni bita mura na kesho risimba rinakura risasi!
 
Umejitahidi Ila Umekosea Kidogo
1-Mackenzie Ramadhani
2-Mavumbi Omari
3-Twaha Hamidu
4-Deo Njohole
5-Frank Kassanga
6-Adolph Kondo
7-Edward Chumila
8-Malota Soma
9-Daniel muhoja
10-John Makelele
11-Issa Kihange
Zamoyoni Mogella alikuwa kafungiwa Miezi 6 kwakumpiga kichwa marehemu yusuph suleiman wa CDA George masatu alikuwa bado anachezea pamba

YANGA
* Sahau Said Kambi(RIP)
* John Bosco(RIP)
* Kenneth Mkapa
*Godwin Aswile
* Salum Kabunda
* Issa Athuman(RIP)
*Abubakar Salum/Mohammed Rashid Kagologa
* AthumaniChina
* Said Mwamba(RIP)
*Sanifu Lazaro
*John Alex/Felex Minziro
 
Simba taifa kubwa, kesho ushindi kwao.Wale washabiki wenzangu tusikose kesho taifa.
 
Kweli Said Mwamba Kizota mungu amrehemu alikuwa na kipaji cha pekee na katika historia fupi anayo rekodi yake ya kipekee alifunga simba alipokuwa yanga na aliifunga yanga
alipokuwa simba
 
Simba timu mfunge yanga "yeboyebo" goli tatu kwa bila warudi jangwani wakasake maji!!
 
Simba taifa kubwa, kesho ushindi kwao.Wale washabiki wenzangu tusikose kesho taifa.
kumbe mke mtarajiwa na wewe uko ndani ya chama kubwa chama la kutisha Afrika nzima. Sasa kesho unakaa jukwaa gani la Makabwela/Mabwanyenye/Wabangaizaji/Walalaheri/Walalahoi au? Nataka kesho wangalau nikuone nikusabahi mwanaJF mwenzangu tuanoana kupitian key board tu sio fresh sana. Mimi nitakuwa jukwaa la Wabangaizaji
 
Mie nitakaa viti vya rangi ya chungwa mkabala na VIP ni elfu 20 tu, ticket tayari ipo mkononi. Sasa sijui nipo kundi gani hapo, naona nitakuwa kwenye kundi la wabangaizaji.
 
Echesa,Okwi Huenda Wasicheze kama ni kweli au Janja ya Mnyama

Hiyo ni janja ya mnyama, yeboyebo walizugwa wakazugika watashangaa watakapoona wanaingia kiwanjani, bila shaka wachezaji wao matumbo ya kuharisha yatawashika. Nasikia harufu ya bakora jangwani.
 
hapa kwenye hii mada ngoja niwe msomaji tu nione mashabiki watakavyo bishana
Hapa hakuna ubishi ila ukweli unajulikana wekundu wa msimbazi simba pointi tatu zetu hata Fidel80 anajua ila anajikakamua ili kuwapa matumaini yebo yebo wenzake..
 
Yanga ilianzishwa mwaka 1935 chini ya wazalendo halisi wapaa samaki na wafua nazi waliokuwa wakijikusanya mida ya jioni na kuanzisha harakati za kudai uhuru.
Hivyo unavyoizungumzia Yanga unatakiwa usimame kabla kwa dk moja kisha uendelee.
Na unapozungumzia uhuru wa taifa basi usisite kuitaja Yanga kwa namna moja ama nyingine.

Ukija kwa upande wa simba...timu hii ilianzishwa na wakoloni wa kiarabu waliokuwa wakishinda kutwa nzima na misuli viunoni huku wakiwatesa babu zetu.
na ndio maana wana tabia zote za kiarabu kwani mpk leo hawana hata uwanja wa mazoezi wanadandiadandia tu kama waarabu wanavyodandia magorofa ya msajili.
Sforza Yanga
 
Asante mwanahistoria... sasa baada ya historia fupi ya timu zote, nani atashinda?:p
 
Yanga ilianzishwa mwaka 1935 chini ya wazalendo halisi wapaa samaki na wafua nazi waliokuwa wakijikusanya mida ya jioni na kuanzisha harakati za kudai uhuru.
Hivyo unavyoizungumzia Yanga unatakiwa usimame kabla kwa dk moja kisha uendelee.
Na unapozungumzia uhuru wa taifa basi usisite kuitaja Yanga kwa namna moja ama nyingine.

Ukija kwa upande wa simba...timu hii ilianzishwa na wakoloni wa kiarabu waliokuwa wakishinda kutwa nzima na misuli viunoni huku wakiwatesa babu zetu.
na ndio maana wana tabia zote za kiarabu kwani mpk leo hawana hata uwanja wa mazoezi wanadandiadandia tu kama waarabu wanavyodandia magorofa ya msajili.
Sforza Yanga

Hata CCM ilianzishwa na walalahoi wakulima na wafanyakazi lakn sasa hivi wenye CCM wanajulikana!! Yanga hivyo hivyo..
 
Hahhaaaa, true that, Manji na wenzake ndio wanaobeba yanga ya leo na si wauza samaki tena wa feri

hahaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom