Simba vs Yanga April 19, 2009

Upande wa Wekundu wa Msimbazi
Angurumapo Simba, mcheza nani?, nguruma, nguruma, nguruma. Mkuu Mbu... nguruma, nguruma, nguruma, Invisible... nguruma, nguruma, nguruma.

Upande wa Yebo Yebo
Madega: Watoto wangu eee
YNIS, Masanilo, Balantanda et al.: ehh
Madega: Mimi Baba yenu
YNIS, Masanilo, Balantanda et al.: ehh
Madega: Sina nguvu tena, ya kumuua Simba
YNIS, Masanilo, Balantanda et al.: ehh
Madega: japo sisi mabingwa
YNIS, Masanilo, Balantanda et al.: ehh, ehhhh.....

Wekundu wa Msimbazi lazima tuue...
 
Mkuu Invisible hao ni wetu, kujiamini 99.999999999%. Umeamini.
Utamu wa mechi za Simba vs Yanga huwa ni kufungana... Mbaya kufungwa timu iliyo upande wako.

Teh teh teh... Leo na-enjoy hapa Uwanjani. Shukrani kwa wanaonipa wireless connection hii
 
Hehehehe utabiri wa Sheikh Yahya nimeupenda sana.

Yanga 2 Simba 1

Pia alitabiri Mkapa atapata cheo kikubwa kimataifa kabla au ifikapo April 2009... Nasubiria kwa hamu sana
 
Utamu wa mechi za Simba vs Yanga huwa ni kufungana... Mbaya kufungwa timu iliyo upande wako.

Teh teh teh... Leo na-enjoy hapa Uwanjani. Shukrani kwa wanaonipa wireless connection hii

Tuwakilishe vyema na usisahau kuwa Yanga wakifungwa tunasukuma bomu kwa Kondic. Hasira ya Wamisri inakumbukwa.

Yebo Yebo, wameinama, wameinuka, wanaona haya hao (CCM, CCM, CCM...)

.....Eehhh kidedea, eee kidedea.......
 
Hehehehe utabiri wa Sheikh Yahya nimeupenda sana.

Yanga 2 Simba 1

Pia alitabiri Mkapa atapata cheo kikubwa kimataifa kabla au ifikapo April 2009... Nasubiria kwa hamu sana

Mbona hakutabiri kuwa atatabiriwa kifo, Muongo mkubwa ule, anawala waliojichokea kiimani.
 
Back
Top Bottom