Simba vs Yanga April 19, 2009

sasa mkuu mbona kuna thread ingine kule? tutachanganyikiwa sisi presha juu
 
Chuji leo game limemkataa na anatolewa na nafasi yake inachukuliwa na Nurdin Bakari, Yanga wanapata free kick na kupaisha pale
Bado Simba 1 Yanga 0 dakika ya 35
 
Yanga wanakosa lisawazisha. Ambani alibakia yeye na kipa. akapiga kipa akacheza, ikawa kona
 
naonekana yanga wamerelax sana, nadhani hawana pressure kwa sababu wanacheza kulinda heshima tu na si kutafuta ubingwa, lakini bado ngoma ni tamu kwelikweli
 
naonekana yanga wamerelax sana, nadhani hawana pressure kwa sababu wanacheza kulinda heshima tu na si kutafuta ubingwa, lakini bado ngoma ni tamu kwelikweli
 
Yanga wanapata free kick mita 35 toka langoni mwa Simba na wanapaisha pale mpira unakaribia half time baso Simba wako mbele kwa bao 1
 
Yanga mnaboa funga mnyama huyu, furaha zetu za jana msiharibu Eboooo! si mliona Chelsea?
 
Hahahahahahah invisible ....kumbe ni mtani kwa ligi ya nyumbani....anyway tumewatanguliza na baiskeli ya miti!
 
Back
Top Bottom