Simba vs Yanga April 19, 2009

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
habari zilizotufikia hivi punde zinasema yule mzee wetu wa kutabiri sheikh yahaya hussein ameitabiria ushindi timu ya yanga kwa mabao 2-1 huku mchezaji mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu bila kutaja upande gani;kwenu msimbazi mganga wenu amesemaje:;;;
 
mzee kapona huyu maana ilikuja taharifa humu jamvini kwamba mzee kautema na iltangazwa misikitini duuuuu
 
leo ataumbuka na utabiri wake.... mvua imeshanyesha Dar asubuhi asubuhi, dalili kubwa kwamba lunyasi ni kicheko leo
 
Mpira si maneno ni vitendo,we nenda Taifa ukajionee mwenyewe ipi pumba,chuya na hata mchele.Unamkumbuka Dr.Kajura 1992 alitabiri Yanga kufungwa na Simba 2-1 matokeo yakaja Yanga 3 Simba 1,huyu Kajura hadi leo kapoteza umaarufu.
 
Na mimi Killuminati natabiri kuwa kama haitashinda Simba basi itashinda Yanga for sure!!.....Sheikh Yahya tupo wengi kama ndio hivyo!! Ha ha ha
 
Nasikia mchezo wa simba na yanga huwa unabadilika kila muda kutokana na wataalam wanavyouchezesha kabla ya game nawakati wa game....sijui ukweli wake ila hata ndani uwanja huwa wanauchezesha....na kubadili matokeo muda wowote....
 
leo ataumbuka na utabiri wake.... mvua imeshanyesha Dar asubuhi asubuhi, dalili kubwa kwamba lunyasi ni kicheko leo
Duh safari hii waganga wa Yanga wameshindwa kuzuia mvua basi tumekwisha nakumbuka ile game ya kwanza lilitanda wingu la mvua lakini jamaa wakafight kuzuia mvua haikunyesha
 
Uwanja wa Taifa umejaa almost to full huku mashabiki wengi wakiwa wa Simba. Wachezaji ndo wanaenda kuvaa nyuzi zao vyumbani baada ya kupasha. Leo kazi ipo maana naona Simba wamepania kweli kweli.
 
Yanga are in all green jerseys wirh yellow stripes and Simba in their traditional all while and white stripes as the teams are coming out of the tunnel. Yanga will be without their inspirational winger Mrisho Ngassa who is on trials with West Ham united...oh my, Simba are without their key striker Mussa Hassan Mgosi.
The game is underway here in Taifa.
 
Yanga wanashambuliwa sana!

Simba wanakosa bao jingine inakuwa kona. Mwakingwe hawapi nafasi
 
Back
Top Bottom