Simba vs setif live hapa

Ama kweli hawa Waarabu hawaaminiki!
Kumbe ingetakiwaga pale Shamba la bibi wangelambwa 6-0 ingekuwaga full shangwe!

Bila shaka mnyama atarudi hapa kaning'iniza masharabu tu!
 
simba walikuwa wanaomba dua pale kwa ajili ya second half. tuwaombeee
 
beki ya simba wanakatika sana walicheza offside trik imewagharimu
 
mchezaji alifunga goli anakaimbiza kafanyiwa foul mbaya na kaseja
 
mguu ule wa kaseja umetua kifuuani (kwenye diaphram) bado yupo ground hali siyo nzuri
 
Simba uchawi wao mvua, nasikia huko mvua imenyesha sana, lakini Simba inafanywa kama Lusinde alivyowafanya Chadema
 
Back
Top Bottom