simba vs kagera live updates

Kama simba kafa kwa droo, Yanga atakuwa ameoza kabisa maana kashakula vichapo viwili na droo moja

Yanga Imeshindwa UGENINI... Hamjaenda Kwao Kagera kama YANGA na huko Morogoro...
Kwanini kuandikia MAJI wakati WINO UPPOO????
 
Matokeo ya leo hasa ya Taifa na Sokoine ni mazuri sana. Naziombea timu hizo mbili ziende kwa mwendo huu hata kwa mechi zao mbili zijazo halafu wataona wenyewe upepo utakavyobadilika.

Bravo Simba, Bravo Azam. God bless you all for these impressive results.

Tartiiibu cream (Yanga) inaendelea kusogea pale juu mahali pake palipozoeleka wakati pumba (hizo nyekundu hapo juu) zimeanza kulowa na kushuka zikijiandaa kuipisha cream ikae mahali pake palipoinuka!
 
Back
Top Bottom