Simba vs JKT Ruvu

mwaka huu ni wenu watani...hats off!

unazi pembeni....mna-deserve all the plaudits around maana score margin hii si ndogo dhidi ya timu ngumu kama ruvu!
Pamoja mkuu, ila Azam anatupa hofu....
 
azam hawana experience ya ku-handle pressure ya kwenye run-in stage.
wata-recoil where/when it matters kama ilivyowatokea last season.
mechi zao mbili marefa wamepigwa inadaiwa wanahonga sana marefa...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom