SIMBA Tv HEWANI

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Website ya simba mbona siielewi maana haijawa updated tangu mwezi wa 8 mwaka jana.HIvi uwanja wa simba umefkia wapi tena,hivi vifaa vya gym na sweeming pool bado?kiwanja cha bunju cha simba nani kawahi kukiona jengo la simba litamalizika lini kupakwa rangi,okwi yuko wapi?yanga WAMEBEBA KAGAME?
 
Kiongozi huko ni kutia chumvi kwenye jeraha bichi,mimi simo...
 
Wanadanganywa na maharage kila siku wanataka uwanja wajenge wakati hata kale kajengo kakukukuu pale msimbazi hakana hadhi ya ofisi, hamna maji,umeme,hata rangi wameshindwa kupaka.
 
Apeleke congo rambi rambi za mafisango kwa nn anafanyia biashara pesa za marehemu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom