Simba sports club tv hewani

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,038
23,827
Pata habari za Simba sports club kufuatia AZAM FC TV kuwatangulia ktk tekenelojia ya mawasiliano kupitia TV, klabu kongwe ya Simba inatueleza mikakati ya kuwaleta karibu washabiki wake wapatao millioni 15 kama Rage anavyoelezea kupitia CLOUDS TV

video kwa hisani ya Shaffihdauda wa youtube
 
Last edited by a moderator:
Rage amewashikia akili simba

....Umeona eeh!!! Yan jamaa chochote akisemacho wao wanaona kama kasema mungu vile. Mara kibao jamaa kashawaingiza mkenge lakini wao hawakomi kumwamini (kumbuka usajili wa Asamoah, Yondan, Twite e.t.c... Rage oyee!!
 
Mashabiki wa simba wanapelekeshwa kama gari bovu na hawashtuki, hawa jamaa raha sana kuwatawala!
 
Umeona enh? Niliwahi kuandika humu jukwaani hakuna team rahisi kuiongoza kama Simba S.C,team imejaa Watindiga sijapata kuona.
 
Mashabiki wa simba wanapelekeshwa kama gari bovu na hawashtuki, hawa jamaa raha sana kuwatawala!
Kabla haijaanza kurushwa kupitia Clouds TV mlikuwa mnasema mbona hakuna chochote, imeanza kurushwa mnaanza kusema tena mashabiki wa Simba kama gari bovu kumbe mlitaka nini? tunaanza pole pole na baadaye itakuwa TV station inayojitosheleza; kwani nyie na timu yenu ya CCM hamuwezi kuongea na Mshana yule mkurugenzi wa TV ya CCM akawa anarusha mara moja moja habari za timu ya CCM na kipindi hicho kukiita CCM FC TV.
 
mkuu vipi ule mkataba wa kujenga uwanja, ujenzi haujaanza bado.?maana tulishuhudia wazungu watatu wakitia saini na mheshimiwa Rage.!
 
Tunajengea ndani pale Msimbazi kwenye jengo letu, ukishakamilika ndo tutaupeleka Bunju, sasa tuko kwenye hatua ya kujenga majukwaa na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji elfu 45. Tutaweka picha hapa tukifikia hatua ya kuandaa pitch. Vipi bado una swali kuhusiana na club ya Simba pamoja na m/kiti wake?
 
mm nilikuwa napita tu,kwi!kwi!kwi!kwi!kwi!kwi................................!!!!!!!!!!!!!!! rage noma hajawahi shinda hata nje ya dar es salaam tangu msimu huu mpya ligi teeeeeeeeee teeeeeeee!!,nalog out
 
Kabla haijaanza kurushwa kupitia Clouds TV mlikuwa mnasema mbona hakuna chochote, imeanza kurushwa mnaanza kusema tena mashabiki wa Simba kama gari bovu kumbe mlitaka nini? tunaanza pole pole na baadaye itakuwa TV station inayojitosheleza; kwani nyie na timu yenu ya CCM hamuwezi kuongea na Mshana yule mkurugenzi wa TV ya CCM akawa anarusha mara moja moja habari za timu ya CCM na kipindi hicho kukiita CCM FC TV.

hivi kuandaa kipindi na kukipeleka kwenye tv nayo ni mafanikio, kweli bongo noma hivi nae chereko akisema cheleko tv nae ajipongeze duu kweli mashabiki wa simba akili yenu haizidi ya panzi
 
Mkuu katika post yangu kuna sehemu yoyote niliyosema tumepata mafanikio au unakurupuka tu kuandika bila kusoma nilichoandika?
 
Tunajengea ndani pale Msimbazi kwenye jengo letu, ukishakamilika ndo tutaupeleka Bunju, sasa tuko kwenye hatua ya kujenga majukwaa na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji elfu 45. Tutaweka picha hapa tukifikia hatua ya kuandaa pitch. Vipi bado una swali kuhusiana na club ya Simba pamoja na m/kiti wake?

:clap2::clap2::clap2::yo::yo::yo:...hangereni sana watani na sisi tutajifunza kupitia kwenu.!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom