Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Ingia ktk jukwaa la michezo kisha soma thread imeandikwa YANGA JANA LEO NA KESHO...YANGA DAIMA.
Hapo ndo utaijua Yanga.
Usikurupuke

Basi nenda huko kwenye hilo jukwaa lako, kama limedoda uje utuambie maana hapa tunazungumzia soka wewe unaleta mambo ya painting
 
..Yawezekana Patrick Phiri na Simba wakaingia kwenye Guiness book of the World..Ngoja tupige mechi zote 22 bila droo wala kupoteza.

Usikurupuke...
Kitabu cha Guiness hakiingii makocha ambao wachezaji wake hawalipwi mishahara mpk bakuli la ombaomba ''saidia baba'' lipite
 
kwani Simba mpaka hivi leo hajapoteza mechi, aah huyu Phiri basi atakua kocha bora sana.

Mkiambiwa mpira ni kocha na uongozi - mnakuwa wakaliiii - sasa mshukuru mungu kimeo chenu kinarudi brazil, sasa muda wenu wa kutafuta kocha mzuri ili na nyie muanze kufurahia ushindi.

Na ndiyo maana club kubwa za wenzetu wana Manager - First team coach - nk

Kwa hiyo Phiri si Kocha tu ( mwalimu) bali pia anaweza ku manage mpira. maximo yote hawezi, kwa hiyo sipendi Phiri kuitwa Kocha - Mwiteni Simba Team Manager.

poleni - nimeingiza ya maximo hapa ila bado nina uchungu ya jamaa huyu kinoma.
 
Basi nenda huko kwenye hilo jukwaa lako, kama limedoda uje utuambie maana hapa tunazungumzia soka wewe unaleta mambo ya painting

Huna kiburi cha kunikataza kuingia na kuyafichua machafu yenu.

Narudia tena kapakeni rangi jengo lenu na kisha mtengeneze vyoo watu waache kunyakunya kwenye vifuko vya plastick na kuvitupa kwenye mitaro.
 
Yoyote anayejua radha ya soka hawezi kunikataza kuingia ktk thread ya Simba eti kisa mimi ni nguli wa Yanga.

Ila wasioweza kupiga hata danadana ndo watanikataza kuingia ktk thread hii...

YANGA DAIMA MBELE...
NYUMA SIMBA
 
KWA HIYO SA IVI mpo mbele ya SIMBA??
 
Yoyote anayejua radha ya soka hawezi kunikataza kuingia ktk thread ya Simba eti kisa mimi ni nguli wa Yanga.

Ila wasioweza kupiga hata danadana ndo watanikataza kuingia ktk thread hii...

YANGA DAIMA MBELE...
NYUMA SIMBA

KWA HIYO SA IVI mpo mbele ya SIMBA?? kivipi? hamjawahi fungwa sio kama na ww ni mnyama ussijifiche man.
 
Huna kiburi cha kunikataza kuingia na kuyafichua machafu yenu.

Narudia tena kapakeni rangi jengo lenu na kisha mtengeneze vyoo watu waache kunyakunya kwenye vifuko vya plastick na kuvitupa kwenye mitaro.

Chomba hoyeeeeeeeee
 
Yoyote anayejua radha ya soka hawezi kunikataza kuingia ktk thread ya Simba eti kisa mimi ni nguli wa Yanga.

Ila wasioweza kupiga hata danadana ndo watanikataza kuingia ktk thread hii...

YANGA DAIMA MBELE...
NYUMA SIMBA

yani hapo una maana simba anapumulia kisogo cha chomba? sorry i mean cha yanga?

Hili kaliandika Gang Chomba...si tumemuunga mkono tu!
 
Wakuu leo tunakipiga na kagera sugar(away)
hope tutaendeleza kichapo kama ilivyo ada.
 
Back
Top Bottom