Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

kidedea tuu...hakuna wa kutuzui mwaka huu....kandambili apende asipende ubingwa unatua msimbazi na tunaweka rekodi mwaka huu kumaliza ligi bila kufungwa hata mechi moja..hehheehe
 
officially mechi 5 zijazo...itategemea kama kandambili hataachia pointi kwenye mechi zijazo...as it stands vijana wamekaza buti kuhinda ll the games kwa hiyo naona mambo yamekaa safi nguvu tunaelekeza mechi za kimataifa...
 
Tuna point 39 ili kujihakikishia tunapaswa kuwa na point 55 bila kuangalia matokeo ya yebo yebo na Azam..

Masatu uko wapi?
 
Tuna point 39 ili kujihakikishia tunapaswa kuwa na point 55 bila kuangalia matokeo ya yebo yebo na Azam..
Asante kwa takwimu za kuufikia ubingwa bra, hizo 55 chache sana kwa mnyama hata wakitaka 65 zinapatikana tu
 
Wazo langu kwa TiEfuEfu, mwakani waongeze timu zifikie 13 ili tuweze Kuivunja Rekodi ambayo mwaka huu Tutajiwekea
 
Wachezaji wa timu ya Simba wameendelea kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuendeleza wimbi lake la ushindi wa mfululizo baada ya kuihukumu Prisons ya Mbeya tatu, na kuwaruhusu wahukumiwa hao kupata kamoja tu kwa kukimbia kiwanjani.

Magoli ya Simba yalifungwa na Mussa Hassan 'Mgosi' aliyefunga mabao mawili na Nico Nyagawa aliyefunga moja wakati lile la kufutia machozi la Prisons lilifungwa na mchezaji Misango Magae na hivyo, badi mwisho wa mechi, Simba 3 Prison 1. Timu hizo zilikipiga katika uwanja wa Uhuru. Timu ya Simba SC ilimaliza mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya soka Tanzania kwa kuweka rekodi ya kutokufungwa mechi yoyote. Katika mzunguko wa pili, Simba imegeuza upande wa pili wa wembe na kuendelea kunyoa vipara kila timu wanayokutana nayo.

Ingewezekana, Liverpool FC, ingekopa tuushindi tudogo tokakwa Simba walao tuwasaidie kuepa hili balaa la kichapo wanachosiribwa 'left and right' katika msimu huu wa soka la Uingereza. mwe!

Heko Simba Sports Club!
 
Back
Top Bottom