Simba SC yabebwa Mapinduzi Cup

Mleta habari hii ni nani?

.....Kocha wa Miembeni?
......shabiki wa Miembeni?
.....Refa wa mchezo huo?

Nadhani hii ingefaa zaidi kuwa kwenye jukwaa la udaku.

Simba Hoyeeeee..!!!!!!!

mleta habari ni miongoni mwa wageni rasmi wa mchezo huo, na rafiki mkubwa wa Amani Makungu
 
aiseee... bongo kila kitu mbona shaghala naghala......

malengo yake yametimia baada ya jana Simba kushinda na timu yake ya miembeni kutolewa, hivyo simba inacheza na Azam jumatatu nusu fainali
 
Jamani kama hali ya mechi hiyo ilikuwa hivyo then kwanini timu husika zisitolewe kwenye mashindano hayo, coz sioni watakwepa wapi adhabu kama ushahidi upo wazi kama ulivyo semwa hapo juu.

Ushahidi upo, Star Tv na Tvz walikuwa wanarekodi mechi hiyo, hata wakati Makungu anashuka VIP kwenda kwenye benchi la timu yake waliona, kocha akamuita Uhuru wanaona, beki wa miembeni anamgombeza kipa kwa nini umedaka inaonekana, sema kwa zanzibar nani wa kumshataki Makungu???
 
Halafu tunategemea timu zetu zifanye vizuri kwenye mechi za kimataifa? Dawa ni kuzifungia Simba na Yanga kwa muda. Upendeleo na ujinga wa jinsi hii utakwisha na mpira utakua.
 
Back
Top Bottom