Simba sc vs Express tupeni habari

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Mbona kimya,tupeane updates wanasimba tv wenzangu! Usajili umetishaje?
 
Ukiona kimya ujue mnyama kaliwa. Simba akishinda ungeshaona kiherehere hapa jamvini
 
Ukiona kimya ujue mnyama kaliwa. Simba akishinda ungeshaona kiherehere hapa jamvini

Hata kwa Michuzi hamna kitu. Ingekuwa wanaongoza tayari kungekuwa na picha lukuki! Ya Yanga jana kwa vile kashinda kimya. Kaiweka leo kiduchu na kuitoa haraka. Za bwawa la maini zinakaa hata week!
 
Vijana wameonyesha kiwango cha hatari, mabao ni bila bila, asilimia kubwa ya wachezaji ni waliosajiliwa na wale wa kikosi B, wachezaji wa kutumainiwa kama Kaseja, Boban, Sunzu, Kazimoto, Okwi, Mungusa na Nyoso hata benchi hawakuwepo, kwa ujumla wapenzi na mashabiki wa Simba msiwe na wasi wasi kabisa timu ni nzuri na imecheza vizuri sana, naamini tarehe 16 wataonyesha soka la kuvutia njooni kwa wingi tuipe support timu yetu.
 
Hata kwa Michuzi hamna kitu. Ingekuwa wanaongoza tayari kungekuwa na picha lukuki! Ya Yanga jana kwa vile kashinda kimya. Kaiweka leo kiduchu na kuitoa haraka. Za bwawa la maini zinakaa hata week!
Mkuu Simba sio timu ya blogs na magazeti, nenda uwanjani ukaone vitu vya ukweli na sio kusubiri kina michuzi wakuwekea matokeo.
 
Mkuu Simba sio timu ya blogs na magazeti, nenda uwanjani ukaone vitu vya ukweli na sio kusubiri kina michuzi wakuwekea matokeo.

Leo imekuwa sio ya blogs tena. Au inategemea matokeo?
 
Express si walicheza jana! Kwa uchovu wa kucheza jana leo walitakiwa wafungwe mabao mengi sana.
 
...kandambili bana, tangu wapigwe mkono bado akili zao zimedumaa hadi leo. Jana eti ohh Chuji sasa kama Pirlo, mara washageuka soka la brasil na hiyo ni mechi moja tuu ambayo wamemwona Barthez sasa ni kipa bora wa dunia !!
 
Simba+Express+3.jpg

hakuna mbabe..
 
...kandambili bana, tangu wapigwe mkono bado akili zao zimedumaa hadi leo. Jana eti ohh Chuji sasa kama Pirlo, mara washageuka soka la brasil na hiyo ni mechi moja tuu ambayo wamemwona Barthez sasa ni kipa bora wa dunia !!

mh,. Hawa mabingwa wakata bwana kelele nyingi sn,. Goli 5 penat 3 huo ulikua mtoano au,. Soka safi jana na utaona kagame tunavyokunyonya dam ilo kombe la kata baki kuwalingishia kina oljoro, na toto
 
Unaambiwa pamoja na Express kucheza kichovu sana tofauti na juzi lkn bado Simba walishindwa kuchomoka na ushindi,hii ni dalili mbaya sana kwa team ambayo imekuwa ikifanya mazoezi kwa kipindi kisichopungua Mwezi sasa mara Gym mara ufukweni,bado ikapiga ziara ya mechi za kirafiki Kanda ya ziwa lkn still bado ikaonyesha kiwango kile cha jana,nilisema hapa na nitaendelea kusema Simba bila Okwi na Marehemu Mafisangu(RIP Jembe) mtaichukia sana,take my words Guys...
 
Siku ile ulivyotutangazia ile mechi mliyoshinda dhidi ya Toto sijui team ya Kombania ya Shinyanga kule Shinyanga,inamaana umesahau Mkuu?
Niliwatangazia kupitia blog gani?, au unachanganya kati ya blog na website?
 
Back
Top Bottom