Simba SC Vs ES Setif

Mahmoud Qaasim

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
923
264
Jamani wapenzi na wadau wa Simba SC tupeane habari za mechi ya kesho, naona kimya mno hapa jukwaani.
karibuni
 
Subiri kesho mechi ianze ndo tupeane habari, kama unazitaka za leo, Mwinyi Kazimoto na Chollo ni majeruhi.
 
Mapema mno, hizi mechi si za kuzungumza mapema, unaweza usile siku mbili
 
Bila shaka es Setif watatatufurahisha watanzania kwa kumkanyaga mnyama!
 
Simba watanzania tupo pamoja na maombi yetu yapate kibali mbele ya mungu kesho mshinde kuanzia goli2,3,4 kwa sifuri
 
Back
Top Bottom