mwakitundilo
Member
- Aug 15, 2012
- 28
- 7
Nimeudhishwa sana na kitendo cha kitapeli na kisichokuwa cha kiuanamichezo kilichofanywa na mchezaji MBUYU TWITE wa APR ya Rwanda. Mchezaji huyu alisajiliwa na Simba SC kutoka APR, lakini katika hali ya kustaajabisha mchezaji huyu akiwa kishalipwa kitita cha USD 30,000 kaamua kusajili pia YANGA. Nawashauri wanachama, viongozi, mashabiki na "wazee" wa Simba kumtia adabu mkongoman huyu ili awe fundisho kwa wachezaji wengine wenye tabia kama hiyo. Adhabu ninayopendekeza ni kumshusha shipa naamini "wazee" wangu wa Simba hili liko ndani ya uwezo wenu. NAWASILISHA