Simba SC bado gonjwa gonjwa!

Mdakuzi

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
3,459
4,229
Mambo bado magumu kwa Simba kwenye uwanja wa Taifa, ambapo leo inacheza mechi ya kirafiki na Sofapaka, na mpaka muda huu Simba imeshatandikwa magoli 3-0, na kwa hali inayoonekana wanaweza kufungwa zaidi ya hizo! Hali mbaya sana!
 
Bado iko na kizunguzungu ya kumkosa mbuyu twite na Yondani.
 
........sijui tumfukuze nani kwenye hii timu: akina Mrwanda na wenzake tulisha watanguliza so who is next! kocha????
 
........sijui tumfukuze nani kwenye hii timu: akina Mrwanda na wenzake tulisha watanguliza so who is next! kocha????

next kuwafukuza ni keita na ochieng mmm! Lakin ninashaka tukiwafukuza hawa nani ataziba mapengo yao maana yondan na keita bado hakijaeleweka halafuu! Kitukingine ndo hivyo dilisha la usajiri linafungwa cjui tufanyeje sasa hii nayo ni pasua kichwa!!! Labda na sie tumwige jirani tumtimue huyu mserbia circovic tumlete na sie kocha mzungu kutoka ubelgiji labda ndo mambo yatanyooka maana sis huwa tikiwaiga majirani zet mambo yanatunyookea ikumbukwe walimleta sam timbe sie tukaleta basena, wakafukuza mganda na sie tukafukuza mganda wetu, wakamrudisha papic na sie tukamrudisha profesa cirkovic, wakamtimua papic kukawa na tetes za kumleta aliyewahi kuwa kocha wa T-stars Marcio maximo na sie tukasema wakifanya hivyo tu tutamwajiri yule kocha aliyetimuliwa stars cjui nan yule nimemsahau kidogo sasa hivi wameleta mbelgiji mambo yao 'super' sasa kilichobaki na sie tutafute mbelgiji yaani sis ni wazee wa kupiga chabo a.k.a kuangalizia a.k.a kucopy na kupaste napenda kuwasilisha
 
Shangilien sasa, hizi trayo hakuna pointi hapo, subirin ligi ianze ndo mtamjuwa mnyama anafanya nini.
 
Shangilien sasa, hizi trayo hakuna pointi hapo, subirin ligi ianze ndo mtamjuwa mnyama anafanya nini.

Nilipokua mtoto mdogo nilikua nasikiliza "Mazungumzo Baada ya Habari "kwa kifupi alisema "nyota njema inaonekana au inaanza asubuhi" au Biashara njema ni asubuhi....MUPO BA SIMBA ANGALIA JESHI LA BELGIUM LIMETUA.
 
.. don't read too much from friendlies. lengo ni kujaribu wachezaji na uchezaji wa namna mbalimbali/kutafuta ushindi siyo primary goal hapa. ligi bado...
 
.. don't read too much from friendlies. lengo ni kujaribu wachezaji na uchezaji wa namna mbalimbali/kutafuta ushindi siyo primary goal hapa. ligi bado...
Mkuu team lazima iwe na determination na kujenga winning spirit,mfano ninachokifurahia sasa hivi Yanga hata ibalanganye vp kwenye mchezo inaweza ku'pick 2nd half na kuibuka na ushindi hata wa dakika za lala salama,angalia mechi na Mafunzo, Polisi ya Rwanda na Coastal juzi,mechi zote Yanga ilianza vibaya na kutangulia kufungwa lkn wali'pick na mwisho wa mchezo wakaibuka na ushindi, hivi ndo team ya ushindi inavyotakiwa kuwa.
 
duh,aibu sana aise.Nasikia huyo beki wao sijui nani vile!ni bomu hamna kitu,bora ata yule"Lina-Makombo"ni mzuri.
 
duh,aibu sana aise.Nasikia huyo beki wao sijui nani vile!ni bomu hamna kitu,bora ata yule"Lina-Makombo"ni mzuri.
Yule wa kujifunga na kusababisha Penalt kila siku? yule bomu mbaya bora hata Juma Nyoso wetu,bado nakumbuka tambo za Mzee Zacharia Hans Pop ya kuwa sasa hivi wameamua kujikita kwenye kuchukua wachezaji wa Africa Magharibi ksbb wa ukanda huu wa Africa Mashariki hawajui mpira na si waaminifu,haya sasa kazi wanayo na pazia la usajili ndo lishafungwa
 
Wana Simba msiwe na hofu, mimi jana nilikuwa uwanjani, ni kweli tumefungwa lakini tuseme tu bahati haikuwa upande wetu hiyo jana, timu ilicheza vizuri na tumefika golini mara kibao ndo maana baada ya mechi bado vijana tuliwapigia makofi kuwapongeza kwa soka waliloonyesha, hakuna shaka Azam lazima wakae hiyo j4 na Yeboyebo nao lazima wakae siku ya tarehe 03/10.
 
he unanichekesha ya jana yamekushinda ,unayaota yajayo kweli wewe unajipa moyo mimi nakuambia ntakupiga goli moja tuu la uchungu wait for the D DAY.
 
he unanichekesha ya jana yamekushinda ,unayaota yajayo kweli wewe unajipa moyo mimi nakuambia ntakupiga goli moja tuu la uchungu wait for the D DAY.

Mkuu sasa unataka nianze kusema nayaweza ya jana wakati jana ishapita, subiri muda ufike ndo utajua kwamba Jogoo hafi kwa utitiri, utitiri utamsumbua kidogo tu lakini baadaye atakuwa shwari.
 
Back
Top Bottom