mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 2,972
- 989
Ni mechi ya kirafiki itakayopigwa leo pale CHAMANZI STADIUM saa 16:00 jioni,
SIMBA S.C vs BATA BULLETS F.C ya MALAWI.
Bata bullets f.c wanatumia mchezo huu kujiandaa na mashindano ya caf champions league dhidi ya wapinzani wao Al Hilal ya Sudan.
Tukutane saa 16:00 jioni na utapata kila kitu kitakachojiri chamanzi kupitia hapa jf...