Simba Rage awaponz.

MTUNZA AMANI

Senior Member
Jun 2, 2012
187
21
Kwa kuwa simba inaongozwa na mwanasiasa mambo yake yote katika club ya simba anayaendesha kisiasa,hatoi ushirikiano na viongozi wenzake,kauli zake ni za kukurupuka,itakuwa vema kama atafanikiwa kutofautisha shughuli za bunge ambazo zinaendeshwa kisiasa na shughuli za mpira ambazo zinaendeshwa kivitendo zaidi,kwa hiyo Rage uwe makini vinginevyo utatuangushia club yetu.
 
Na yanga inayoongozwa na Fisadi?!! Rage kakurupukaje sasa!! peleka pumba huko chooni...fedha chafu za ufisadi ndio mnatumia kuhonga...
 
Kwa kuwa simba
inaongozwa na mwanasiasa mambo yake yote katika club ya simba
anayaendesha kisiasa,hatoi ushirikiano na viongozi wenzake,kauli zake ni
za kukurupuka,itakuwa vema kama atafanikiwa kutofautisha shughuli za
bunge ambazo zinaendeshwa kisiasa na shughuli za mpira ambazo
zinaendeshwa kivitendo zaidi,kwa hiyo Rage uwe makini vinginevyo
utatuangushia club yetu.

smba na yanga huwa wanapata matatizo ya uongozi kwa zamu,last tym ilikuwa yanga,dis tom smba,,kazi kwa wanachama
 
smba na yanga huwa wanapata matatizo ya uongozi kwa zamu,last tym ilikuwa yanga,dis tom smba,,kazi kwa wanachama

Kazi kwa wanachama ndiyo lkn huyu MUNGU ni wa ajabu sana huwezi kuamini yaani kachukua Wanachama wote wenye busara kawaweka Yanga,wale wakina.....ndo wapo kule Msimbazi kama Ma'Zuzu fulani hivi,yaani kusoma hawajui lkn hata kuangalia picha kunawashinda!!!!,Rage amewageuza Ma'poyoyo!
 
Inatakiwa ifike mahali taarifa zitolewazo na viongozi ziwe rasmi na ushahidi wa taarifa uoneshwe,na kwamba Kwa rage historia inaonesha amekuwa na tambo zisizokuwa za msingi na ambazo hazina tija ktk club,amekuwa na ahadi nyingi zisizotekelezeka mara uwanja bunju,mara nimepokea milioni 70 za kumuuza okwi mara nimeshapata uhamisho wa twite,kimsingi kila kitu anafanya kisiasa bila kuwa na uhakika wa kile anachokisema.
 
Kwa viongozi wa soka la Tanzania hasa hizi club kubwa wala sitii neno maana wanachofanya wanajua wao tu
 
Back
Top Bottom