Simba oyeeee

...dah! 5-0...mnyama kafanya vitu vyake...lazima jangwani leo wachapane.
 
Yanga wamegombana na 'techinical team' yao au? Vile vibabu na mikoba yao wako wapi?
 
jamani mimi nai myanga pure but kweli naumia sana na hii timu kiasi kwamba sipend hata kuskia inacheza
 
Ritz umewaharibia wenzako. unaona matatizo ya kuokota watu barabarani na kuwapa madaraka?.
 
Jamani JF tunaomba uzi wa heshima yetu ili watani wetu watupongeze, kwa kuchukua kombe na kuwapa kipigo cha mbwa mwizi.
 
Yebo yebo wana matatizo, wasingekuwa na matatizo hayo matano yasingepatikana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom