Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

simba ni cdm yanga ni ccm

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by pera, May 6, 2012.

 1. p

  pera Senior Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwavile ccm inaelekea kuanguka basi yanga ni ccm simba ni cdm
   
 2. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kaka hata mavazi ya Yanga si unayaona!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. p

  pera Senior Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukubali ukatae ndio hivyo
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,054
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Mnyika hama yanga hamia Simba
   
 5. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 8,202
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Aisee mambo ya siasa yaache kwenye siasa na mambo ya michezo yaache kwenye michezo. Mara hii mmeishasahau jinsi watu zaidi ya 70 walivyokufa katika kiwanja cha mpira wa miguu huko MISRI kutokana na kuchanganya siasa na michezo!!!?

  Tafadhali sana naomba mambo haya yaache yabaki hayapatani kama mafuta na maji
   
 6. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 5,648
  Likes Received: 1,532
  Trophy Points: 280
  Mkuu na wewe unaingia mtego wa magamba? Hapana, Yanga ni ndugu zetu kama walivyo Simba na timu zingine na maskini wote wa Tanzania.

  Chadema sio Simba kama ambavyo sio Yanga bali ni ya wote. Tunaye adui mmoja tu nchi hii naye ni CCM, makuwadi wao, mfumo wao mbovu na ufisadi wanaoukumbatia. Makundi mengine yote ya kijamii ni marafiki bora wa Chadema.

  Magamba wanatumia kila hila kugawa wananchi mara hii wamerukia ushabiki michezoni baada ya single za ukabila, ukanda, udini, n.k. kuchuja.
   
 7. R

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,621
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Let's see. Kwani matokeo leo ni vipi?
   
 8. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 7,000
  Likes Received: 1,322
  Trophy Points: 280
  Embu wape ukwl
   
 9. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 927
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Huu niuzushi,hapa nijukwaa la siasa.
   
 10. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,776
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mods naomba muifunge hii thread. Inaua michezo Tanzania ikiwa itatizamwa kwa mtazamo wa kisiasa. Tunazihitaji Simba, Yanga, Azam, Nyota Nyekundu, Tukuyu star, Pamba, nk kwa kuiinua Tanzania kimichezo.
   
 11. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 203
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Hapo umenena mkuu. Atakae pinga atazamwe mara mbilimbili. Labda kjazrshia tu
   
Loading...