Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Ebana kuna kijana anaitwa Okwi anawatesa sana Yanga... Kazi kwelikweli

Kwanza naanza na mshangao, kaka INVISIBLE, mbona sura tuliyozoea kukutambua nayo umeibadilisha. Mbona hivyo tena, au kuna hacker kaingia jamvini na kuteka wasifu wako??? Ni mshangao na hisia tu!!!

Huyo kijana Okwi kwa nini awatese Yanga, kwani wakati wa matayarisho hawakuwa wanamjua na kumuweka mezani kumjadili na kupanga tactics za kumdhibiti. Timu zetu zapaswa kucheza mpira wa kisayansi kwa akili, na kupunguza kwenda kichwa kichwa kwa kutegemea misuli.
 
hahaaaa yanga wamefulia washapigwa kimoja mpira half time...simba kiwango sanaaa
 
Kwanza naanza na mshangao, kaka INVISIBLE, mbona sura tuliyozoea kukutambua nayo umeibadilisha. Mbona hivyo tena, au kuna hacker kaingia jamvini na kuteka wasifu wako??? Ni mshangao na hisia tu!!!

Huyo kijana Okwi kwa nini awatese Yanga, kwani wakati wa matayarisho hawakuwa wanamjua na kumuweka mezani kumjadili na kupanga tactics za kumdhibiti. Timu zetu zapaswa kucheza mpira wa kisayansi kwa akili, na kupunguza kwenda kichwa kichwa kwa kutegemea misuli.

Mama Mdogo shkamooo..Kiwango cha Simba kikubwa sana yanga hawateweza kuwakabili ,,,hahaaaa
 
Kipind cha Kwanza Simba wametoka Kifua Mbele kwa Goli Moja, nadhani Ngwe ya Pili itakuwa tamu na Yenye ushindani sana, Nategemea Mzungu atamuingiza Tegete na Phiri atamuingiza Uhuru Selemani. Mechi ilikuwa Nzuri Na Simba wamecheza Kwa ku relax zaidi
 
Kwanza naanza na mshangao, kaka INVISIBLE, mbona sura tuliyozoea kukutambua nayo umeibadilisha. Mbona hivyo tena, au kuna hacker kaingia jamvini na kuteka wasifu wako??? Ni mshangao na hisia tu!!!

Huyo kijana Okwi kwa nini awatese Yanga, kwani wakati wa matayarisho hawakuwa wanamjua na kumuweka mezani kumjadili na kupanga tactics za kumdhibiti. Timu zetu zapaswa kucheza mpira wa kisayansi kwa akili, na kupunguza kwenda kichwa kichwa kwa kutegemea misuli.
Ma Mdogo,

Kwenye suala la soka rangi zangu ziko wazi kabisa!

Blue na nyeupe (nje ya Tanzania) - Chelsea & Real Madrid

Nyekundu na nyeupe (ndani ya Tanzania) - Wekundu wa Msimbazi.

Ah, soka letu soka la Bongo michosho, tunabaki kushabikia walau hata majina ya klabu zetu. Walau Simba wanacheza soka lililoenda shule kiasi :)
 
Maskini Simba Kwa Kiwango hiki mwakani tutapoteza wachezaji wengi sana, hasa huyu dogo Okwi, kama Xavi, halafu huyu Banka anacheza kama Iniesta
 
Back
Top Bottom