Simba na Yanga ni watani?

Buza

Member
Aug 7, 2011
57
14
Simba na Yanga kwa ninavyoona Mimi ni maadui. Adui ni yule anaye wish mabaya kwa mwenzake, ambayo ndio hizi timu zinavyofanya Sasa tutawaitaje watani wakati ni maadui.
 
Hawa sio watani wala sio maadui.
Ni washindani wa UCHAWI, ndio maana huyu akienda Zanzibar, mwingine hukimbilia Bagamnoyo.
Sizipendi kabisa timu hizi, kwani ndizo zinazodumaza soka la bongo.
Simba B ilifanya vizuri miezi michache nyuma na kunyakua kombe, hadi leo watoto hawajalipwa pesa yao.
Yanga na teja lao kila siku wako busy na kiutimua makocha, badala ya kuwatimua waganga na wachawi wa timu ili timu iachane na ushindi wa ramli.
Mitimu hii ina zaidi ya miaka sabini lakini hadi leo haina hata uwanja wa mazoezi.
Hebu ngoja kwanza nizizomeee Simba na Yanga....
hiyoooooooooo hovyooooooooooooooo mizeeeee mizima inavaa pampasi hadi leo hiyoooooo
 
KWANZA WOTE WANAOTOA MAWAZO YAO HAPA NAWAPONGEZA,HIZI TIMU NI KAMA MAJESHI YANAYO TUMIWA NA BAADHI YA WATU KULETA RABSHA NA TAFRANI KILA SIKU,SISI WATANZANIA NI WATU WA AMANI SANA LAKINI MIMI NAONA KUNA WATU KAMA SIO WATANZANIA WENYEWE NI WATU WA NJE WANAZITUMIA HIZI VILABU KUTUCHONGANISHA SISI WATANZANIA NA HII NI HATARI SANA KWA NCHI YETU.TUAMKE NA TUBADILIKE HARAKA KABLA HAKUJATOKEA MAUTI.:shock:
 
Back
Top Bottom