Simba kuikamua Yanga milioni 50 za Hassan Kessy

Nielewe kinyiramba???. Leo Chirwa na Zulu wamefunga magoli mangapi?Niliacha mapumziko Yanga anaongoza magoli mawili.
 
Hata ishu ya kessy, yanga haidaiwi 50m labda kessy, ambaw anaweza kugoma kwa kadri ya maisha yake akiwa simba: yanga isipolipa nini kitatokea? Mbona hakuna kitu, wewe subiri uone Kama Yanga waliingia mkenge kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom