Simba kuikamua Yanga milioni 50 za Hassan Kessy

Manji asipolipa itabidi mchange. Na kumbuka ni deni .Anadai bilioni 11 alizowakopesha. Chirwa si mchezaji hata wa millioni 20.Aliyetoa kaingizwa chaka big time.

CHIRWA:
Amecheza mechi chache! Mabao mengi

MAVUGO:
Amecheza mechi nyingi! Mabao machache.

anza kutathmini mchezaji wako(Mavugo) kwanza akisha kaa sawa na kupata lolote la kujigamba mbele ya Obrey ndio uje hapa tujibizane kuhusu hili..

Huwezi kununua mchezaji kwa millioni 200 halafu eti aweke benchi na milioni 30.Ni ujinga tu wa kujaribu kutetea kwamba mmeingizwa chaka. Mzee Akilimali pamoja na uzee wake ndiye aliyethubutu kusema jamaa ni garasa tena la bei mbaya.
 
Manji asipolipa itabidi mchange. Na kumbuka ni deni .Anadai bilioni 11 alizowakopesha. Chirwa si mchezaji hata wa millioni 20.Aliyetoa kaingizwa chaka big time.
Siku hizi hawaweki 10%, wanaweka 100%.
 
Katibu mkuu wa Yanga alikaririwa na Mwananchi jana kwamba wanashangaa kulaumiwa kwa kupeleka jina la Kessy huku akiwa na mkataba na Simba. Anauliza TFF walikuwa wapi?Anasahau kwa makusudi au kwa kutojua kwamba aliyepeleka majina TFF na alitakiwa ajiridhishe kwamba Kessy bado ana mkataba au la.Kwa mazoea ya kubebwa wakajua ni green light tu sasa mbuni kafia machinjioni.
 
Hilo swala likifuata sheria kabisa Tanzania unaweza kufungiwa na CAF na Yanga kushushwa daraja
 
Huwezi kununua mchezaji kwa millioni 200 halafu eti aweke benchi na milioni 30.Ni ujinga tu wa kujaribu kutetea kwamba mmeingizwa chaka. Mzee Akilimali pamoja na uzee wake ndiye aliyethubutu kusema jamaa ni garasa tena la bei mbaya.
Hii pesa tutakayowalipa naomba muipeleke kwa mafisango tafadharini sana.
 
Tafadharini ni kiswahili au kisambaa?Pesa ya vocha inakupa tabu umekalia ohh tukiwalipa. Ulipe nini wewe mgongo wazi?
 
Bado adhabu inaendelea,, Kama ni Kweli Yanga walianza kumtumia Kessy kabla akiwa na mkataba wa Simba. Ni wazi wanyang,anywe pointi zote alizocheza Kessy Vpl .2016.
 
Mimi shabiki wa klabu ya Simba hiyo adhabu ni ndogo sana tutakata rufaa kwa nini kila siku Yanga waoo watajifunza lini
Ngoja walipe hizi kwanza then tunalianzisha upya Caf na Fifa kabla ya hapo tutawataka hawa Tff warudishe pointi zote walizo opp ata kwa kumtumia Kessy wakati ana kesi na Simba sc.
 
Tafadharini ni kiswahili au kisambaa?Pesa ya vocha inakupa tabu umekalia ohh tukiwalipa. Ulipe nini wewe mgongo wazi?
Utajulia wapi kiswahili wakati makuzi yako yamekua ya kuhamahama kutokana na mother kuachwaachwa?hapa sikuelewi unataka ulipwe au yanga iondolewe kwenye ligi kuu?hebu funguka dada.
 
Bado adhabu inaendelea,, Kama ni Kweli Yanga walianza kumtumia Kessy kabla akiwa na mkataba wa Simba. Ni wazi wanyang,anywe pointi zote alizocheza Kessy Vpl .2016.
Ngoja tuwaoneshe kua Yanga sio watu wa sportsport.
 
Tafadharini ni kiswahili au kisambaa?Pesa ya vocha inakupa tabu umekalia ohh tukiwalipa. Ulipe nini wewe mgongo wazi?
Wewe kwenye hiyo 50mil utapata sh ngapi mpaka utokwe povu na kukaza shingo kuitaka?
 
Ujinga wenu ndio umefanya Simba wapate hiyo milioni 50.Na sasa kibao kimegeuka wanataka bilioni 1.2 kwani kwenye kikao Yanga wamekiri kwamba walituma jina la Kessy huku akiwa na mkataba na Simba.Mavi yanachungulia chupi. Ndio dhambi ya kuzoea kubebwa. KARMA.
 
Utajulia wapi kiswahili wakati makuzi yako yamekua ya kuhamahama kutokana na mother kuachwaachwa?hapa sikuelewi unataka ulipwe au yanga iondolewe kwenye ligi kuu?hebu funguka dada.
Jina kama la mwimbaji mashuhuri wa taarabu Nasmakadogo. Hiyo nasmapesa ina siri gani?Unauuza nini?Tafadharini ni kisambaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom