Simba/Kiyovu Live update!

Hongera Simba Sports Club ila Ngeleja Sitakusamehe kwa Mambo yako ya Mgao wa Umeme
huyu ngeleja bure kabisa ...alituma salamu kuitakia simba kila la kheri huku akiwanyima wengine kutizama ..ndio ini hii ati
 
Hongera sana SSC. Msibweteke kwa ushindi wa leo. Kutokana na matokeo mabovu ya timu zetu hamu ya kufuatilia soka letu imepungua sana.
 
Back
Top Bottom