SIMBA FC kusherehekea ubingwa ndani ya ukumbi wa DAR LIVE.

Ama kweli "MASKINI AKIPATA ****** HULIA MBWATTAH!!" yaani Rage kuchukua ubingwa wa Ligi ya Vodacom tu ka'organize na sherehe kabisa nafikiri anajua kuwa hatachukua tena kwahiyo wacha tumuache asherehekee.
By the way mimi bado nalia na Rambirambi za Mafisango pamoja na PPF/NSSF zake nasema hiyo laana ndo itakayowamaliza Simba.
 
wacha porojo zako kijana?? Wewe bado kijana mdogo sana majungu yatakuharibu kiakiri na kifikra.

Najua watu type kama yako ni wengi sana jangwani na ndiyo mnayo iharibu timu yenu ya yanga kwa majungu na uchu pamoja na fitina.

Nyie si ndo wakina staki nataka.

sizitaki mbivu hizi kauli hiyo hutolewa baada ya kuzikosa.
 
hakuna kitu kama hii yaani mtu akipenda timu yanga ni ccm simba ni nani na sisi azam utasikia tumenunuliwa mibongo bwana..

acha kukikimbia kivuli chako mwenyewe? Naona unajitisha na kuogopa mwenyewe.Sawa sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe? Ni vipi? Na nilini? Wewe kimbora ukawa AZAM? Mbona unakuwa mgagagigikoko hivyo?? Wewe si ni kandambili dam? Au unaandaa mazingira ya kushangilia mashindano ya kimataifa mwakani??
Maana kwa nafasi mliopo ni sawa sawa na mgonjwa aliyowekwa chumba cha mahututi? Au upo mochwari kabisaaa?
 
Nampongeza sana Emanuel Okwi kwa kuzikacha sherehe za Simba kwasababu alizozitoa za kuendelea kuomboleza msiba wa mchezaji mwenzake na rafiki yake Mafisango,big up sana Okwi umeonyesha kuwa kweli umeguswa na ule msiba.
 
Duu kumbe okwi kaukataa ushetani wa hawa ccm,. Make hawa ndo ccm halisi hata mandamano yao yaliruhusiwa japo ya cdm yalikataliwa
 
Ama kweli "MASKINI AKIPATA ****** HULIA MBWATTAH!!" yaani Rage kuchukua ubingwa wa Ligi ya Vodacom tu ka'organize na sherehe kabisa nafikiri anajua kuwa hatachukua tena kwahiyo wacha tumuache asherehekee.
By the way mimi bado nalia na Rambirambi za Mafisango pamoja na PPF/NSSF zake nasema hiyo laana ndo itakayowamaliza Simba.
Mkuu naona kuna mambo unachanganya, kuhusu hela iliyopatikana kutokana na michango ya rambirambi kuna post moja nimefafanua vizuri sijui kama umeiona na hela ya pensheni sio suala la Simba hilo ni suala la kisheria hadi msimamizi wa mirathi ateuliwe kwanza na athibitishwe na mahakama Simba watakachofanya ni kutoa barua tu kwenda kwenye mfuko husika kwamba huyu alikuwa mwajiriwa wetu zaidi ya hapo Simba hawana la kufanya kuhusiana na hela ya pensheni labda kama una taarifa kwamba tayari msimamizi wa mirathi yupo na Simba wamekataa kutoa barua.

Simba watalaumiwa tu endapo kama kuna stahili zake zingine wamekataa kuzitoa mfano kama kuna mshahara haujalipwa au kama kuna michango baadhi ya sehemu hujulikana kama group life lakini kama stahili zote hizo hazipo sio sawa kuendelea kuwalaumu Simba.
 
Nampongeza sana Emanuel Okwi kwa kuzikacha sherehe za Simba kwasababu alizozitoa za kuendelea kuomboleza msiba wa mchezaji mwenzake na rafiki yake Mafisango,big up sana Okwi umeonyesha kuwa kweli umeguswa na ule msiba.
Mkuu weka source ya kwamba Okwi alikataa kuhudhuria kwa sababu anaomboleza msiba, mimi ninachojua alikuwa kwenye timu yake ya Taifa the Cranes.
 
Back
Top Bottom