simba bwana!!

mtamanyali

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,161
613
[h=6]Siku moja nyani alichoka kuishi akatafuta all means ya kujiua akashindwa!akamfata simba alielala na kumchokoza ili aliwe afe!basi alienda akamtia kidole" NYUMA"mpka simba akaamka.simba akauliza..ni nan huyo?NYANI:ni mimi..!simba akauliza,kuna yeyote kaona?NYAN:hapana..!SIMBA:basi fanya tena..![/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom