Simba bingwa Kagame Cup.....!!!

Ooh Simba a.k.a Wekundu wa Msimbazi,
Nini kimewakuta Kagame Cup? Au tuzo/mafanikio ya ndani yamewalevya?
- Timu bora ya msimu
- Kipa bora
- Mfungaji bora
- Kocha bora.
Nadhani hayo yote hayana maana kama vyote hivi umevipata kwenye ligi chovu. Nimemshngaa Phiri kutambua kwamba alitukuzwa kwenye ligi dhaifu. Mbona wakati ule wanagawa dozi wanasema ligi ya msimu huu timu zote zimejiandaa vya kutosha na ushindani ni mkubwa tofauti na miaka mingine,je hilo ni la kweli kwa wakati ule? na kwa wakati huu ukweli ni upi. Bila shaka Watanzania tunayo kazi kubwa katika kuboresha soka letu, na kagame iwe ni changamoto isiwe tena tuanze kumtafuta mchawi. Kwa hali hii nadahni tusitegemee matokeo tofauti sana na haya kwenye national team, kwani ndo wachezaji tulio nao.
Napenda kuwapongeza wekundu wa msimbazi kwa hatua waliyofikia kwani walistahili kutokana na kiwango walichokionyesha huko kigali.
 
Visingizio vya Phiri ni baseless. Kama ligi ya TZ mbovu mbona timu kama Sofapaka walinyolewa kwenye Tusker cup na timu ya TZ (na wakati ule walikuwa na timu kali zaidi ya hii ya sasa ambayo iko 7th kwenye ligi ya Kenya)? Simba's shambolic show kwenye Kagame cup has to be blamed on Simba wenyewe. They always allow success get into their vichwa..badala ya kutafuta mafanikio zaidi, they talk,talk, talk and talk. And uselessly brag of course! Na sasa mmepata Rage mmefika mahali pake - itakuwa talk, talk, talk, talk!!!
 
Mlizoea kununua mechi na uchawi mwingiiiiiiiiii mmekiona cha moto poleni watani.
...We Fidel weweee Ohhoooo!! Haya.....Nakusubiri jioni kwenye zile taa za magomeni mapipa pale umeniudhi sana!!:painkiller:
 
Hahahaha pole mtani maana jana nilipo sikia toka kwa Maestro kuwa mmepoteza mchezo nilijipongeza balaa.
Pole mtani uwezo wako upo hapa hapa Bongo kuwafunga Maji Maji na Prison na kujiona bonge la mshindi kumbe mnahonga wachezaji.
 
Pole mtani uwezo wako upo hapa hapa Bongo kuwafunga Maji Maji naPrison na na kujiona bonge la mshindi kumbe mnahonga wachezaji.
Na Yanga
 
Hahahaha pole mtani maana jana nilipo sikia toka kwa Maestro kuwa mmepoteza mchezo nilijipongeza balaa.
Pole mtani uwezo wako upo hapa hapa Bongo kuwafunga Maji Maji na Prison na kujiona bonge la mshindi kumbe mnahonga wachezaji.
...Ah! wapi vijana walikuwa na uchovu wa safari mazee. Itabidi hasira zote za kutolewa Kagame Cup mtani nije kumalizia kwako. Usishangae yale mambo ya 6-0 nikakufanyia tena najua umelewa na tujisenti kutoka kwa waoka mikate pale mjini kati..Kwiii! kwiiikwiiikwiii!!!!
 
Re: Simba bingwa Kagame Cup.....!!!
Tunaomba utubadilishie hiyo title inatia uchungu kweli kwa wageni ambao ndo wanachungulia upande huu wa michezo
 
Back
Top Bottom