Simba bingwa Kagame Cup.....!!!

Soon yakipatikana yatarushwa hapa..ila ni moja kati ya mechi ngumu..shaka hakuna kwa mnyama simba kula paka
 
Tupeni matokea basi jamani tunakufa wenzenu kwa kihoro duh aaarrrrrggggh
 
uh hawa jamaa sasa wameanza kama wamisri duh, mbona wameharibu siku yangu jamani, haya inabidi tukubali matokea kwa uchungu lakini
 
Afadhali bana kelele zilikuwa zimezidi,Simba mmebeba kombe mara 6 but hamjawahi kuchukua ugenini hata mara moja
 
Afadhali bana kelele zilikuwa zimezidi,Simba mmebeba kombe mara 6 but hamjawahi kuchukua ugenini hata mara moja
Kuna klabu moja tu ya TZ iliyowahi kuchukua kombe hili (la mbuzi) ugenini - tena mara 2! Siitaji jina.......wewe na wale jamaa wa kipande ingine mnaijua!!! Ina historia nzuri kuliko timu zote TZ lakini huwa haina kelele nyingi.....yenyewe kazi yake kunyakuwa makombe tu....
 
Afadhali bana kelele zilikuwa zimezidi,Simba mmebeba kombe mara 6 but hamjawahi kuchukua ugenini hata mara moja

Ni vizuri kama unatambua kuwa Simba ni mabingwa wa kihistoria wa Cecafa. Yeboyebo imetwaa mara ngapi? Soka haina cha nyumbani wala ugenini.
 
Kama Simba ilifungwa na Misri 5-1 na Sofapaka 1-0 ina maana kwa mechi zote ambazo Simba ilishinda hapa bongo timu za Tz ni Vibonde! Aibu!!
 
kwa kuwa mwizi yuko pale kama mwenyekiti (rage)

basi msimu mzima hakutakuwa na kitu
 
Leo lazima URA warejee nyumbani kukusanya kodi....Simba mnyama hatari usichezee sharubu zake
 
Back
Top Bottom