Simba bingwa Kagame Cup.....!!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Kwa wale mashabiki wa wekundu wa Msimbazi (Simba Sports Club) napenda kuwakumbusha kuwa tukae mkao wa kula kusubiri kikombe pale msimbazi. Ukizingatia na umeme umerudi nina uhakika mambo yatakuwa burudanii. Kwa kuanzia leo Atletico wanakula 2-0 kwak uanzia then wale watakaopita mbele yetu ni kichapo kama kawa..

Simba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Yetu macho na masikio. Siye tupo tunasubiri kuwapa pole au pongezi. Lakini punguzeni Ushehe Yahaya maana hata kabla ya 5-1 kutoka kwa mafarao huu Ushehe Yahaya tuliuona na kuusikia.
 
Hata wa 4- 3 uliusikia?
 
Hapa mashaka matupu kila nikiwasiliana na vyanzo vyangu wote wanasema patupu..ila sijaona manyoya...mana ukiona manyoya uje kachinjwa
 
BBC wanasema mechi inaendelea ila game ya kwanza imekwisha SOFAPAKA wameshinda 3 bila..kuna kibarua kigumu kumfunga bingwa mtetesi atletico
 
Kwa kuanzia leo Atletico wanakula 2-0 kwak uanzia then wale watakaopita mbele yetu ni kichapo kama kawa..

Simba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
Kumbe Sheikh Yayha anatuibia bure tu. Mkuu we mtabiri mahiri
 
lion.jpg
 
Mnyama kamtafuna Mtetesi...Hureee wanalunyasi...Naamini katika Aden Rage simba watafanya mengi mazuri...
 
Leo na sofapaka.....update wadau!!
Ushindi lazima........................................................
 
Back
Top Bottom