Leo nampokea Aspirin nyumbani kwa mara ya kwanza kabisa, sasa sijui nivae nini? nisaidieni jamani...
Lipuli ndio aje tena?
Ngoja niwaulize kina shangazi wanambie. Ila hapo kwanza umeipigia kura rangi gani?lipuli, watoto toka iringa, enzi hizo utazikuta, tukuyu star, pamba mwanza, mecco, nazarethi ya njombe, sikuizi mpira umechakachuliwa na kina AZAM, MORO UNITED ......
Ngoja niwaulize kina shangazi wanambie. Ila hapo kwanza umeipigia kura rangi gani?
Navaa kwa kumvutia ila nataka iwe imenipendeza pia...Halafu nyie ladies bhana, kama unataka kuvaa ili kumvutia yeye ulipaswa kufanya utafiti mapema kujua anapendelea favorite color yake ni ipi, badala ya kuja kutuuliza sisi.Kama huvai kwa kumvutia basi vaa nguo nzuri ya rangi yoyote itakayokufanya uonekane umependeza.
vaa khanga moja ya india
Dah! anakuja kunwya chai tu, hatujafika huko jamani. akiniona hivo siku ya kwanza atanishangaa hata yeyevaa night dress nyepesii, yenye kuangaza kila idara, usivae chochote ndani zaidi ya cheni moja nyembamba kiunoni
Navaa kwa kumvutia ila nataka iwe imenipendeza pia...
Anfield na YNWA ndio nini? nimechanganyikiwa hapoKujua rangi anayopendelea ni vizuri zaidi.Ingekuwa mi ndo unanidate ningependelea hiyo redi, si unajua tena mambo ya Anfield (YNWA). Halafu na hiyo dress yake iliyoacha mabega wazi ni nzuri maana ni rahisi tu kuichojoa kwa kwenda chini!
Dah! anakuja kunwya chai tu, hatujafika huko jamani. akiniona hivo siku ya kwanza atanishangaa hata yeye