SIMBA ATOROKA ZOO-tegeta

Kiteitei

JF-Expert Member
Jan 14, 2009
1,587
1,523
Habari zilizovunjika ni kuwa kuna simba ametoroka katika zoo iliyoko maeneo ya namanga-tegeta dsm, wadau waambieni ndugu zenu wawe macho na ppredator huyu kwani inadaiwa ana njaa!
 
Kwa nini hao wenye zoo wasimtafute kwa gharama yoyote ile kuliko kusababisha madhara mengine zaidi kwa binadam wandugu?
 
simba wa kufugwa
nadhani ni wa kibisa huyo wala hawezi kuchinja kiumbe yeyote. ila mtu atakayekutana naye lazma jasho limtapakae mwili wote.
 
Simba ni Simba tu haijalishi ni mtoto,Kijana au Mzee... Hata kama hana Meno bado ni Simba... Vyombo vinavyohusika vifuatilie hili...
 
Simba mwenye njaa..ni balaaa ila atauawaa....tuuu maana hana sehemu kujificha....
 
Habari zilizovunjika ni kuwa kuna simba ametoroka katika zoo iliyoko maeneo ya namanga-tegeta dsm, wadau waambieni ndugu zenu wawe macho na ppredator huyu kwani inadaiwa ana njaa!

...:D ...si ya kucheka, lakini kwa mtaji huo kuna mtu atageuzwa kitoweo leo!
 

... ndugu zenu wawe macho na ppredator huyu kwani inadaiwa ana njaa!

"Inadaiwa ana njaa," kwa hiyo wananchi watakomuona wakimrushia mbuzi akala akashiba, tatizo tumetatua, au?


Simba mwenye njaa
..ni balaaa ila atauawaa....tuuu maana hana sehemu kujificha....

Ila atauawa tuu? Akifa na mtu je? Simba anazurura huru mitaani huwezi kuwaambia wananchi "aaah, atauawa tu." Hiyo hoja ni hatari, uzembe, isiliwaze mtu. Ana njaa, hana njaa, simba anazurura huru ni hatari, nukta.
 
Tegeta kuna ZOO na ina wanyama na ndege wengi.Eneo lilipo kwa kweli ni hatari kwani ni kwenye plot na wamezungukwa na makazi ya watu pande zote. In
 
Tegeta kuna ZOO na ina wanyama na ndege wengi.Eneo lilipo kwa kweli ni hatari kwani ni kwenye plot na wamezungukwa na makazi ya watu pande zote. In

Unajua haya mambo ya kuiga huwa yanatupeleka pabaya sana sisi wenye ngozi nyeusi.

Hivi TZ hakuna mapori ya kutosha mpaka jitu lifuge wanyama hayawani wa hatari Dar es Salaam tena kwenye makazi ya watu?

Nadhani tuna tatizo ktk bongo zetu si bure!
 
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat Zoo Dar? zoo ya nini Dar mbuga natural ipo Morogoro mwendo wa about 3 hours. Kwanini watu wasiende huko kuona wanyama wengi zaidi??? haya ni matatizo yakulazimisha if really it happened (the auther did not give us source of this info)
 
Back
Top Bottom