Simba 1 - el setif 2 dk ya 63

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
NDUGU ZANGUNI BADO TUNAWEZA KUREKEBISHA MATOKEO LAKINI MPAKA DK YA 63 MAGOLI NI KAMA HAYO HAPO JUU DUA ZA WATANZANIA MZIDI KUIOMBEA SIMBA TUWEZE KUTAFUTA HATA DRAW
gUDNYT ALL
 
simba si huwa wanadai kwamba wao ndio wanawaweza waarabu mbona miaka ya hivi karibuni wao ndio wamekuwa wanyonge sana kwa waarab?maana nakumbuka mwaka juzi walitolewa kwa aibu na timu ndogo Harras el Hudud ya Egypt Kwa kupigwa 5 - 1 kwenye mechi ya marudiano kule Egypt
 
NDUGU ZANGUNI BADO TUNAWEZA KUREKEBISHA MATOKEO LAKINI MPAKA DK YA 63 MAGOLI NI KAMA HAYO HAPO JUU DUA ZA WATANZANIA MZIDI KUIOMBEA SIMBA TUWEZE KUTAFUTA HATA DRAW
gUDNYT ALL

Mazagazaga takataka zako tupa kwingine
 
Back
Top Bottom