Sim network unlock pin msaada wakuu !

DAWA YA SIKIO

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
979
180
Natumia. Samsung Galaxy Tab P1000 kwa muda sasa,mara nyingi na line ya airtel. Leo nilitoa line mara moja na kuweka si
mu chaji. Niliporudishia line ndo msala ukaanza. Ikaandika ENTER SIM NETWORK UNLOCK PIN. Nimejaribu kuweka line za mitandao tofauti,bado hali ni ileile. Nisaidieni nifanyaje wakubwa ! IMEI NO: 352961/04/763900/7. made in korea by samsung.
 
Kama ulikosea kuweka pin code mara tatu, Sim Card imekuwa blocked. Utahitaji PUK ili kuifungua(unblock).
Uliponunua sim card, nyuma yake huwa zipo hizo PIN na PUK. Ile sehemu ulipoichomoa hiyo sim card, pembeni yake utapata hizo vitu unahitaji.
Kama umetupa, wasiliana na mtoa huduma(uliponunua hiyo samsung)watakusaidia.
 
vipi ? Unakumbuka ulipoweka kile kipande ulichochomoa sim card?
 
Tazama hii itakusaidia.

Last edited by a moderator:
Je, unataka kuondoa sim lock kutoka yako Samsung Galaxy tab p1000? Kama ni hivyo, matumizi ya kufungua kificho kwa kufungua yake. Unaweza kupata kutoka yoyote ya wachuuzi online kama Mobile-Unlocker.com ya kufungua hiyo.
 
Back
Top Bottom