#mimi bado,...ila nafikiri ni bora mtu anayelia maake watu wanavyo lalamikia ndoa zao humu jamvini ni balaa mara ni muda gani wa kurudi nyumbani,mara kafanya nini,...mmmh sijui,...ni bora kuwa single and available
Mkuu kwa mentality hii uliyo nayo kichwani mwako sijui kama utaoa au hata kufikia kumwambia gal yoyote will you marry me
hayo ni malalamiko ya mtu mmoja kati ya kumi na wengine out of blue wanatunga story waone reaction ya watu
Ndoa ni yako wewe na maisha ni yako wewe
Wewe ndo utakayetengeneza nyumba yako na mke wako na familia yako
Ukiishi kimtandao na wanaokushauri kuwa bila kuwa na nyumba ndogo bado hujakamilika utaishia huko huko