Silinde umeweka rehani jimbo

Acheni Use....n...g....e....rema baridi mnaomshambulia aliyeleta mada hapa hata kama yeye sio customer care wa Tanesco hapaswi kuwajibu vibaya wapiga kura wake hao ndo wamempa madaraka anatakiwa aonyeshe some concern kwani Mnyika alivyokuwa busy kufuatilia matatizo ya Maji Ubungo yeye ni Dawasco?hata kama tunaipenda CDM hatupaswi kuwa vipofu kwa utumbo kama huu
 
Vijana wa chadema wanabweteka sana. Sie wapiga kura tumelalamika sana juu ya TANESCO hatusikilizwi tunamwambia mwakilishi wetu atusaidie kuwakilisha malalamiko yetu watu mna ongea pumba na kumtetea mbunge wkt ni jukumu lake kupigania haki za wapiga kura wake.
 
Silinde ni kivuli cha chadema hapa tunduma..hana lolote la maana zaidi ya kuuza sura...dogo ***** sana katufanya wanatunduma mafala.!
 
Hata mzamini wake mkuu bwana mbyela analalamika ile mbaya dogo zile daladala3 alizonunua bila ushauri zinamfanya mbaya na sasa ziko juu ya mawe pale tabata na dogo alikopa mkopo mkubwa sana nazani mshahara wake kwa sasa ni laki kazaa tu.
Silinde anatakiwa kupata ushauri na si kutukanywa maana doga alipopata ubunge alisema anakwenda kumfunika zitto lakini mpaka sasa silinde ni kati ya wabunge 10 bora kwa ubovu na ushamba.
ushauri ni kwamba dogo amalizie nyumba na atengeneze daladala ubunge asahau 2015.
 
Mkuu hii habari ikoje mdau? Hebu funguka!

dogo alilamba mkopo mkubwa sana na biashara anayoifanya ya daladala hapa dsm hana uzoefu nayo thy amekosa mwelekeo yaana bishara wanamuhitaji na wapigakura wanamwitaji?
 
Silinde ni kivuli cha chadema hapa tunduma..hana lolote la maana zaidi ya kuuza sura...dogo ***** sana katufanya wanatunduma mafala.!

Alisema yeye ni sauti ya simba na baada ya mwezi sita atasikika dunia kote lakini mpaka sasa jamaa anapwaya sana kama vp jaribuni kumshauri maana ubunge 2015 atasikia kwenye mtandao.
 
Silinde tumemaliza nae chuo mwaka mmoja namjua vizur na mpaka kwake tbt nipajua,,, ndio mshkaj anamalizia nyumba yake ndo inamkeep busy kuwa dar mara nyingi na hata mdogo wake anaitwa T.... ameshamwambia sana bro utapoteza jimbo,,, tatizo ana biashara zinamtesa, plus wife ana watoto mapacha nao wanamchanganya si unajua watoto wakiumwa umwa na hata demu wake nae ajakomaa kiakili as walimaliza wote b com 2010 so kila jambo hadi silinde awepo alisolve na hii imesababisha ashindwe kufatilia mambo ya jimbo..

Ila msijali wadau wadau tunampush kamanda wetu wa m4c arudi jimbon kuleta maendeleo tusije tukapoteza jimbo kwa magamba uchaguz ujao
 
100% wewe ni classmate wangu
 
Ingekuwa kujengewa line/kuunganisha umeme toka Mby/Mbozi kuja Tunduma tungekuunga mkono kwamba kweli tunahitaji nguvu ya mbunge wetu. Sasa kukatika umeme nako tunamtaka Mbunge akafuatilie, kwani meneja wa Tanesco Kanda yenu amewajibu nini? Je mmewauliza Tanesco wamewaambia tatizo ni nini?

Mkuu umejibu kisomi sana, sio kama wachangiaji wengine katika hii thread.

Your among the great thinkers.

"A wise man speaks because he/ has something to say,a fool speaks because he/she has to say something.
 
Kazi ya mbunge ni ipi nyie wanafiki hapo juu

Unahangaika bure. Ukiondoa Zitto Kabwe, hakuna hata mbunge mmoja wa Chadema aliyeingia pale kwa ia ya kuwaletea nafuu wananchi wake, ndo maana unasikia lugha zenye maudhi wanapoulizwa au kuombwa kuchukua hatua dhidi ya kero wa watu wao. Tumeshawajua na sasa tunanoa visu kwa ajili ya tohara ya 2015.
 
Acheni Use....n...g....e....rema baridi mnaomshambulia aliyeleta mada hapa hata kama yeye sio customer care wa Tanesco hapaswi kuwajibu vibaya wapiga kura wake hao ndo wamempa madaraka anatakiwa aonyeshe some concern kwani Mnyika alivyokuwa busy kufuatilia matatizo ya Maji Ubungo yeye ni Dawasco?hata kama tunaipenda CDM hatupaswi kuwa vipofu kwa utumbo kama huu

Umenena mkuu tatizo wengi hatupendi kukosolewa hata makosa ya wazi.!
 
Hata mzamini wake mkuu bwana mbyela analalamika ile mbaya dogo zile daladala3 alizonunua bila ushauri zinamfanya mbaya na sasa ziko juu ya mawe pale tabata na dogo alikopa mkopo mkubwa sana nazani mshahara wake kwa sasa ni laki kazaa tu.
Silinde anatakiwa kupata ushauri na si kutukanywa maana doga alipopata ubunge alisema anakwenda kumfunika zitto lakini mpaka sasa silinde ni kati ya wabunge 10 bora kwa ubovu na ushamba.
ushauri ni kwamba dogo amalizie nyumba na atengeneze daladala ubunge asahau 2015.

Huyu dogo sijui mshauri wake nani, mtu hujawai hata kumiliki baiskeli unachukua mkopo benki kununua daladala matokeo yake kuziendesha unashindwa...bora arudi shule akaongeze upeo maanda ubunge wenyewe aliupata kwa ndondokela..
 
Vijana wa chadema wanabweteka sana. Sie wapiga kura tumelalamika sana juu ya TANESCO hatusikilizwi tunamwambia mwakilishi wetu atusaidie kuwakilisha malalamiko yetu watu mna ongea pumba na kumtetea mbunge wkt ni jukumu lake kupigania haki za wapiga kura wake.

bwana tigo umekula nini leo mbona unatoa harufu mbaya ivi...eh¿
 
Wapiga kura wa Tunduma jimbo la Silinde tumekosa umeme siku 13 mfululizo tunampigia mbunge wetu anatujibu utumbo wapiga kura wake eti fuatilieni mambo yenu kwa vile umehamishia makazi Dar ndo utusahau wapiga kula? Chama tuna kipenda ila wewe 2015 ukigombea jimbo tunarudisha kwa magamba kwa kura za hasira.

mkuu mimi inanikera barabara kuanzia kilimanjaro mpaka pale roma maana inamahandaki badala ya mashimo,bora ajitaidi amwage hata kifusi sio mbaya kuepusha msongamano usio wa lazima hasa nyakati za asubui na jioni.!
 
Wapiga kura wa Tunduma jimbo la Silinde tumekosa umeme siku 13 mfululizo tunampigia mbunge wetu anatujibu utumbo wapiga kura wake eti fuatilieni mambo yenu kwa vile umehamishia makazi Dar ndo utusahau wapiga kula? Chama tuna kipenda ila wewe 2015 ukigombea jimbo tunarudisha kwa magamba kwa kura za hasira.

Ulitaka afanye mabomba yatoe maziwa na asali au ni vp? Hilo jimbo limekuwa mikononi mwa chama tawala kwa muda wa zaidi miaka 50 ya Uhuru na why hujiulizi wamefanya nini miaka yote hiyo? wewe unauliza kijana ambaye ana miaka michache tu hapo? Fanyeni kazi na muache kulalamika
 
Wapiga kura wa Tunduma jimbo la Silinde tumekosa umeme siku 13 mfululizo tunampigia mbunge wetu anatujibu utumbo wapiga kura wake eti fuatilieni mambo yenu kwa vile umehamishia makazi Dar ndo utusahau wapiga kula? Chama tuna kipenda ila wewe 2015 ukigombea jimbo tunarudisha kwa magamba kwa kura za hasira.
Sasa kama Silinde atafanya kazi za Badru, nani atafanya kazi zake?
 
Back
Top Bottom