TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,787
- 2,078
Wapiga kura wa Tunduma jimbo la Silinde tumekosa umeme siku 13 mfululizo tunampigia mbunge wetu anatujibu utumbo wapiga kura wake eti fuatilieni mambo yenu kwa vile umehamishia makazi Dar ndo utusahau wapiga kula? Chama tuna kipenda ila wewe 2015 ukigombea jimbo tunarudisha kwa magamba kwa kura za hasira.